KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Yeah ili likikamilika na Reli yetu itakuwa imekamilikaJionee plan mwenyewe. ama wataka nikuonyeshe HASS? Nilikwambia even Burj Khalifa has a very long antennae , pia kingdom towers, you dont see people being salty about it. inajengwaView attachment 495089
Unaitumiaga na kiswahili..na unaclaim kujua kiswahili..maze huwezi nibeba ujinga hapaNimekuuliza hiyo ni lugha gani!!? Je ni kiswahili!?
Na hiyo 49bn ni sawa na trilion1 tzSGR electric upgrade to cost taxpayers Sh49bn more - Ipsos Kenya
type that kwa your search bar
Nairobi mna folen sana maana majengo yenu yote yako pamoja
Si unaitumiaga na kiswahili unasemaga usiletewe bra bra bra....Sa si nilugha yako falaiMbona unakimbia kama mwehu, au wewe ni kichaa? Nakuuliza tena bra ni lugha gani ili nielewe!!? Au wewe ni kichaa!?
Bila izo tower mbili Hamna cha kupost nyinyi
swadakta hebu waambie kati ya tanzania na wapi wanaongea good english..?.. japo kwa wabongo english si misingi yetuHakuna lugha duniani inaitwa sheng labda chang'aa.
Vilevile wewe siyo muingereza wakuweza kusahihisha lugha ya kingereza. Mimi ni mswahili ndio maana nakueleza kiswahili sahihi.
Kwa kifupi: Hujui kiswahili na vilevile hujui kingereza upo upo tu kama tukunyema.
Unaniuliza lugha wewe hutumia..ona hii ngombe...Mimi najua bra kwa English but unaitumiaga na swaMbona unabweka bweka tu bila hata kuongea lolote. Nakuuliza mara nyingine mwehu wewe bra ni lugha gani!?
ha haa haa kila kitu kina mchango wake aya kama hyo history iliyokudanganya kama kiswahili sijui kimetokea uharabuni mbona hao waarabu hawajui kiswahili hata kidogo .....mtu kama wew ndye yule anayeamini history kama binadamu alikuwa nyani hebu jiongeza kila lugha duniani ni vitu vilivyozuka tu....mwalabu asili yake ni kiarabu na mzungu asili yake english ......vinginevyo ni baadhi ya muingiliano wa maneno kidogo history isomwe lakini si kila kilicho kwenye history ni sawa jiongezeUkisoma history ya kiswahili ilitokea waarabu si ati ni lugha ya babu zako wa zamani...elimika na uwache ufala man
Unachanganyaga iyo na kiswahili inakubaliwa kwani...wewe mswahili pimbi...Sasa kama unaijua kwa English kwa kiswahili unaijua!!? Mbona unaropoka kama umekunywa nchang'aa. Kwikwikwikwi.
Sasa ntapenda nini hapo..hamna underpass,hamna fly over ,city haina Maua,city ni ugly inaeza itwa concrete slumDar es salaam. Utaipenda tu hata kama unachuki
View attachment 495443 View attachment 495444 View attachment 495445
ha haaaa history yenu inawadanganya sana wazee wa kuhamisha......Tanzania ni sehemu ambayo hapa duniani inahistory kubwa na ndefu ila vingi havijajulikana ......eti kiswahili chaanzia kwenu ....kweli warabu waliwatawala na kuwajengea uko baada ya wazunguwe unajua kwamba lugha ya Kiswahili lianzia Kenya?
mnatuharibia kiswahili bora uongee lugha ya mkoloni na ukiikosea nayo tunakukosoaNi slang msee...wewe juzi ulikua unasema 'bra bra bra' hio pia ndio kiswahili...uachange kujifanya mjanja na wewe pimbi wa mwisho