Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata mimi hilo nalihofia sana maana wakenya kwa unyang'au huwa hawana aibu.

halafu mimi ugonjwa wangu kwa mwanamke ni vidole vyenye kucha safi zilizopakwa rangi kwa umaridadi...yaani nikiona hivyo tu nakuwa hoi bin taaban.

acha nikae mkao wa kula.
1537798928617.png
1537798928617.png
1537798928617.png
1537798928617.png
aisee
 
wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa kulishana vyakula vyenye sumu. hakika hawa ni monkeys. yule mchina hakukosea.
Juzi serikali ikiua watu 220 juu ya meli mzee na overloaded Hatukuongea hivi..Talk like a Grown up u senseless useless brainless oldman
 
Juzi serikali ikiua watu 220 juu ya meli mzee na overloaded Hatukuongea hivi..Talk like a Grown up u senseless useless brainless oldman
jobless unafananisha tukio la ajari na tukio la wakora waliongiza expired sugar kwa makusudi hapo kenya.
 
Back
Top Bottom