Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westy looks like upanga... With two tall avic towers
Point of collection..... This are much similar to each other
43899461055_dd80cecfe9_b.jpg
7311f14853ff8f566df1d6eb86886b15.jpg
 
Sifahamu aliyewashauri TCRA kutenda waliyoyafanya , kama ni mkono wa mtu basi kafanikiwa na hongera zake , Kiukweli pamoja na ving'amuzi vingi kubaki na TBC pekee watanzania hawataki kabisa kuangalia Channel hii , na kwa uchunguzi wangu wa valuvalu nilioufanya unaonyesha kwamba ukitaka taarifa zako zisiwafikie walengwa basi tangaza TBC 1 , bado sijafahamu hasa kisa cha watanzania kuisusia TV hii inayoendeshwa kwa kodi zao.

Lakini cha ajabu sasa Channel za Kiswahili kutoka Nairobi zikiwemo K24 , KBC , KTN NEWS zikiongozwa na KTN ndio zinazotazamwa mno na watanzania hasa wanaotumia AZAM na DSTV channels zenye watazamaji lukuki nchini Tanzania

Nachukua nafasi hii kuwashauri wafanyabiashara wenzangu kujaribu kutangaza bidhaa zao na Channels kutoka Kenya maana ndio zinazobamba hasa nchiniTanzania .
nimependa ushauri wako.
 
MImi naangalia sana the stiry of kawangare. Maisha magic east. Nishasahau kama nipo Tanzania.
Hii ni kwa sababu ya upumbavu wa viongozi wetu.

Mpaka nikienda dukani naanza kununua kimbo, royco mchuzi mix. Yani najiona mkenya kabisa. Imebaki tu kuhamia Kenya.

Clouds 360 nishaisahau kabisa kwa sababu ya kenge hawa na walaaniwe kabisa
Feel at home.

Niambie Azam ni nini maana sielewi kama ni juice au meli au channel ya tv au channeli kadhaa za kulipia. Niko confused kabisa.
 
Feel at home.

Niambie Azam ni nini maana sielewi kama ni juice au meli au channel ya tv au channeli kadhaa za kulipia. Niko confused kabisa.
Hahaha
Btw.
Nilifika pale kawangare niliishi sana pale.
Nikiwa nafanya kazi ya kufunga mitambo flan pale Juntion Mall.
Behind Junction Mall kuna apartment ziko pale.
Nipata demu mmoja anaitw Felister akawa ananipoza.
Haki demu alikuwa mtamu sana alikuwa anaishi kawangare. Nilikataa kwenda kwao. Ila kawangare nilienda kunywa Tusker na Nyama choma.
Funny enough im from Kilimanjaro.

From my childhood nilikuwa nasikiliza KBC nairooooooobi je huu ni ungwana na lernard mambombo tele.
Na katitu kwa sana.

Kama wewe ni mtoto huwezi kumfaham Leornard.
So Kenya is my home.
 
Na wengine hapa wanawadharau watu wa kibera na ndio wanaowalisha walemavu kutoka kwao wanaojitandaza jijini wakiomba mapeni.
walemavu wangekua ni watanzania mungewarudisha kwao kitambo sana sema sasa hamutaki kukubali ni wenu kwasababu munamuogopa mzungu atashangaa mliingia vp kua MLDC😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom