Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu mbona umeishusha viwango hapo.kuna kipindi wanaonyeshaga 5 matches at per. Ligi za Rw na Ug included, jamaa ni wababe kwa upande huo. Kwa weekend match za Tz premier league mpaka 8 wanaonyeshaga, kuna za mchana, jioni na usiku.
ni kweli bro, ila kwa msimu huu azamtv haitoonyesha ligi ya uganda.

wameaachana nayo baada ya kugundua ni league isiyo na profit kwao.ila league ya rwanda bado wataendelea kuionyesha.

NB:azam ndio waliotoa uamuzi wa kuachana na league ya uganda.
 
Prove it. Show us the photo of your gender parties.
hawezi kukuonyesha...what i believe ipo siku atakuja kujichanganya tu. twende naye taratibu,ndio kwanza kajiunga jf juzi.
IMG_20180924_090026.jpeg
 
Nakwambia mimi si mvulana. Sitakulazimisha uniamini. Chochote ambacho unataka kukisema ni sawa
let me give you a small task.
take a piece of paper and a pen.use that pen to write my ID or anything about me on the paper.

then take a photo of your left/right hand while holding the paper. after that share it here.
 
Asije kachukua katoto kidogo kamwandikie kuficha aibu ya mikono inayofanana na ajuza asee.
hata mimi hilo nalihofia sana maana wakenya kwa unyang'au huwa hawana aibu.

halafu mimi ugonjwa wangu kwa mwanamke ni vidole vyenye kucha safi zilizopakwa rangi kwa umaridadi...yaani nikiona hivyo tu nakuwa hoi bin taaban.

acha nikae mkao wa kula.
 
ni kweli bro, ila kwa msimu huu azamtv haitoonyesha ligi ya uganda.

wameaachana nayo baada ya kugundua ni league isiyo na profit kwao.ila league ya rwanda bado wataendelea kuionyesha.

NB:azam ndio waliotoa uamuzi wa kuachana na league ya uganda.
Okay.. hili nilikua sijajua, ila hata viwanja vyao vilikua vibaya halafu vingine viko village kabisa. Watu wanacheza mpira pembeni ya mstari wa uwanja kuna kanjia mwana kijiji anapita na mkungu wa ndizi huku kabeba panga! Rw naona ligi yao inachezwa kwenye viwanja visivyo zidi vitatu ila hali yake siyo mbaya.
 
Tanzania SGR
View attachment 873170
Source


Dah! Jamaa wananikosha sana hawa, naona wanatumia "Makita Impact Wrench DTW1001" ku funga hizo bolts za reli, hii kitu ina max. torque ya 1,050Nm. Hii (torque) ni zaidi na mara kumi ya ugumu wa kufungua nati za matairi ya magari makubwa.
Hizi samples za 20 metres zinarudiwa rudiwa kila uchao...hebu mtuonyeshe hata at least 100 metres.
 
Back
Top Bottom