Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ziko, tumeona hizo reli zenu za kuni. TAZARA. Mimi nafurahi mkijenga treni za kisasa. Ni my dream Africa ikuwe developed kuongea ukweli, lakini baadhi yenu naona mnafikiria ni nyinyi pekee mna maendeleo. Na Mkenya akipost kitu kizuri kuhusu Kenya naona post zina machungu sana hapa kutoka kwa waTZ wengine
tena ita modern electric train mbona sifa yake huipi hehehehehehhe and ya pili kwa speed africa and to be the longest in africa as well😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ziko, tumeona hizo reli zenu za kuni. TAZARA. Mimi nafurahi mkijenga treni za kisasa. Ni my dream Africa ikuwe developed kuongea ukweli, lakini baadhi yenu naona mnafikiria ni nyinyi pekee mna maendeleo. Na Mkenya akipost kitu kizuri kuhusu Kenya naona post zina machungu sana hapa kutoka kwa waTZ wengine
alafu pia ufahamu na ile ya zamani inarekebishwa na zitafanya kazi zote mbili electric na ile ya zamani so be cool
 
Slums in Tanzania
This one might be old, like 4 years old. But it mean the more people go to towns the more the slum dwellers. And it has increased coz I bet more Tanzanians are moving to towns. So kulialia slums Kenya na you face the same challenges ni utoto na ujinga. Kweli nyani haoni kundule
daaaaaah hahahahahhahahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 tazama hapo balaaa hilo

upload_2017-4-13_11-4-55.png
 
Ichiboy post something about Dar ama ata Nairobi. Wacha kulialia. Yaonyesha huna anything more to post. Unaaibisha Watanzania wenzako wenye higher IQ na lower EQ
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 simemekimbia humu wapi mulitoka hapa hahahahahhahahahah
 
Ziko, tumeona hizo reli zenu za kuni. TAZARA. Mimi nafurahi mkijenga treni za kisasa. Ni my dream Africa ikuwe developed kuongea ukweli, lakini baadhi yenu naona mnafikiria ni nyinyi pekee mna maendeleo. Na Mkenya akipost kitu kizuri kuhusu Kenya naona post zina machungu sana hapa kutoka kwa waTZ wengine
tatizo hii kitu baadhi ya wakenya wengi wenzako walishajitengenezea mazingira moyoni yakukashfu na kudharau raia wakitanzani ndyo maana hali imekuwa hivi kwa hiki kipindi ....hebu tujiulize kwanini tanzania isibezane na uganda ama pengine tukiachana na ushindani.....pointi kubwa ni ivi vitu kams ivi baadhi ya wakenya wengi ndyo wameviunda na kufanya hali iwe hivi na hata mwenyewe wajua tabia za raia wengi wa nchi yenu ya kenya.....

mfano ..hamjawahi kujibishana na nigeria nyie kupitia social network nyingine...?..kama jibu hamjawah sawa na kama mmewahi nani ni mkorofi wamajigambo na kwanini isiwe ni tanzania kujibishana na nugeria

ni hayo tu
 
Wakenya hujibishana na Nigeria sana. Kwa twitter wars kila wakati.
kuna huu uzi ulianzishwa na Mnigeria pia Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Fact Don't Lie) - Politics - Nigeria
Shida ya Kenya na Tanzania ni Kiswahili. Similar language different countries so inakuwa kama sibling rivalry. Hata kama mimi ni mkenya, Kenya imekuwa na headstart so to be realistic Kenya is slighly more developed that Tanzania. Some Tanzanians are in denial na hili, some Kenyans also see Tanzania kama nchi duni, a very backward countryu which is wrong. So this brings war. vita vya kishenzi
 
Would be happy Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia ziwe kama Spain, France, Italy na Germany. All developed. Sijataja Somalia, hao wana kazi nyingi
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 leo hiii baada ya kuona kisu shingoni au unafkiri tumesahau kejeli zenu leoooo miaka 10 iliopita mlikua munatutukana nyie leo kisu shingoni munajifanya wema hakuna wema hapa tutadeal na nyie mpaka kieleweke
 
Wakenya hujibishana na Nigeria sana. Kwa twitter wars kila wakati.
kuna huu uzi ulianzishwa na Mnigeria pia Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Fact Don't Lie) - Politics - Nigeria
Shida ya Kenya na Tanzania ni Kiswahili. Similar language different countries so inakuwa kama sibling rivalry. Hata kama mimi ni mkenya, Kenya imekuwa na headstart so to be realistic Kenya is slighly more developed that Tanzania. Some Tanzanians are in denial na hili, some Kenyans also see Tanzania kama nchi duni, a very backward countryu which is wrong. So this brings war. vita vya kishenzi
iyo iko sawa kiuchumi mmetupita ...yaani kwa thamani ya pesa...kama sisi tulivyowapitaga kipindi cha zamani ila kwa sasa mambo ni kukimbizana kwenda mbele.....ila nachozungumzia ni baadhi ya wakenya wenzako kuchukulia powa TZ so kila kinachotokea nakinachoendelea tokea na bado hii hali itazidi shamihiri miaka yote source ni nyinyi laiti mngekuwa kimya kimya kama waganda ama wengine ingekuwa heshima ipo ila kwa sasa mshaharibu
na mngewajua wabongo jinsi walivyo msingeletaga madharau kipindi cha nyuma na sasa kwani wa TZ ni watu ambao hata uwaambie nini hawajali wanafanya yao na katika kubishana ndyo kabisa mkilianzisha wao wanamaliza.....kikubwa tulichonacho wa TZ ni ukarjmu na heshima ila akikuheshimu wakati wew haumuheshimu naye anakudharau.....ndyo matokeo yenu ya sasa

turudi in fact TANZANIA kiukweli inakuwa fasta kama uliwah kuja dar mwaka 2014 njoo sasa mabadiliko yapo tena makubwa kiukweli nyuma tulidelay sana kwa upande wa government....kikubwa inabidi muwe na heshima kila nchi hii karne inapambana hata nyie mwambana
 
Wakenya hujibishana na Nigeria sana. Kwa twitter wars kila wakati.
kuna huu uzi ulianzishwa na Mnigeria pia Kenya Is Ahead of Nigeria In All Aspect (Fact Don't Lie) - Politics - Nigeria
Shida ya Kenya na Tanzania ni Kiswahili. Similar language different countries so inakuwa kama sibling rivalry. Hata kama mimi ni mkenya, Kenya imekuwa na headstart so to be realistic Kenya is slighly more developed that Tanzania. Some Tanzanians are in denial na hili, some Kenyans also see Tanzania kama nchi duni, a very backward countryu which is wrong. So this brings war. vita vya kishenzi
unachokiongea wewe ni bure nitajie nchi gani duniani yenye middle economy ilishawah tangaza njaaa😀😀😀😀😀😀
middle economy yenu iko kwenye karatasi ndio maana kuna wakati niliwauliza munajua economy ya kenya imeshikwa na kina nani??????😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
In Kenya, its all about business, we are hooking up the gulf states, that is where we are going! The Amir of qatar was in Nairobi
KiduXUZh.jpg

Ehr0eZWh.jpg

0HMSdNGh.jpg

Followed by t a delegation of investors
gNsqRAvh.jpg

C9MmsITXYAE0Suk.jpg

oMYhWPZh.jpg
 
inasaidia nn maana tanzania wamekuja marais ambao hamujawah hata kuwaskia hahahahhaha lakini hatuoneshi au na sisi tuoneshe sema tu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom