Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunahitaji kujua lugha nyingi na za kimataifa kadiri inavyowezekana. Hapa tunazungumzia English kwa sababu ndiyo lugha iliyoachwa na mtawala wa mwisho wa kikoloni wa nchi yetu, Uingereza. Mtawala wa mwisho angelikuwa mjerumani tungekuwa tunazungumzia kijerumani. Lugha ya kigeni katika mazingira yote ni rahisi kuijua ikifundishwa mashuleni kutoka chini kabisa. Hakuna anayesema Kiswahili hakiitajiki. Kiswahili nacho kifundishwe watu wakielewa kwa ufasaha siyo wale wa siku hizi wanaiga kiswahili cha Kenya ambapo WANAUME wanawaita WABABA na WANAWAKE wanawaita WAMAMA. Ni aibu tupu.. Labda kama msamihati wa Kiswahili sasa umekuwa. Kiswahili ni rahisi kuendelea nacho kwa sababu tunaishi nacho mitaani na kinafundishwa mashuleni. English itumike kama lugha ya kufundishia mashuleni kutoka Chekechea mpaka Vyuo vya elimu ya juu ndiyo tutaielewa vizuri na watoto na wajukuu wa nchi yetu wataielewa vizuri.
ok. waache waendelee kuiga. sisi ni ma-role models wao.
 
The only airport in east Africa. Hizi zingine ni landing area.
1537493251935.png
1537493251935.png
 
Kuna fala mmoja alikua anafananisha Posta na Westland, huu ni ujinga sasa yaan huku ni kushushiana hadhi we saba juu jaribu kuheshimu status ya mwenzako

Nadhani unajua Posta ni nin, Yawezekana ndio best CBD in E.A af unakuja kuleta upuuzi wa best CBD kuconpare na residential area Westy!??

Westland tunaeza ipa UPANGA EAST tuu ukiacha UPANGA WEST

Jiheshimu ww 7 juu
 
1537503536824.png
hasira ni ya nn ndugu?
 
Kuna fala mmoja alikua anafananisha Posta na Westland, huu ni ujinga sasa yaan huku ni kushushiana hadhi we saba juu jaribu kuheshimu status ya mwenzako

Nadhani unajua Posta ni nin, Yawezekana ndio best CBD in E.A af unakuja kuleta upuuzi wa best CBD kuconpare na residential area Westy!??

Westland tunaeza ipa UPANGA EAST tuu ukiacha UPANGA WEST

Jiheshimu ww 7 juu
alikua anajifurahisha tu😂😂😂😂😂
 
Posta kwa westy ni utoto
43899461055_dd80cecfe9_b.jpg
44045082144_57b4eee716_o.jpg
44045084954_3c729ceb5a_o.jpg
43714702415_449926c8aa_b.jpg
 
Back
Top Bottom