Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unakimbia wapi sasa mwanaume anaejiaminu hutulia na kupigana kwa hoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘



huyo ni amina au mwajuma ...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘ hio ni kibera pekee bado makuru kayaba, kariobangi, mathare, kisumu ndogo, umoja slum etc






yaani ni kama population ya mkoa mzima wa mbeya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
bila filterπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘
View attachment 872453
At least hiyo ni bila filter, enyu bado ina filter enye sijui ikitolewa inaezakaa aje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
maxresdefault.jpg
35327345.nbooct04052.jpg
 
Mungu awape nguvu na akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ alaf akutoeni huo ujinga na sifa za kipuuzi





πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa kasi ya magufuli hatuwezi fika humu
 
nipo tayari kupokea mapovu ya aina yoyoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

 
kweli miaka imekwenda sijapata kuona miaka wakenya wamepata tabu sana kma miaka hii miwili iliopitaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ nikikumbuka 10yrs zilizopita walikua wakitukana sana wakikashifu lakini leo hiii never husikii mkenya akikashifuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Back
Top Bottom