Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

90% ya mitaa ya Dar or Even the Entire Tz ni Local, aka Swahili,
Hatuweziita mitaa yetu Upperhill au Westlands wakati sisi ni Waswahili,
I clarified this sababu naona ule unyani wa wakenya umejidhihirisha kiasi cha wengi wenu kuhoji majina kama Kinondoni, au Mbagala, Au Mbezi, Au Mwananyamala, au Kigamboni au Kimara,
Got it??
hawautaki utamaduni wao, mkataa kwake ni zaidi ya mtumwa
 
You first land in Nairobi from the US ndio uingie Uganda Bobi wine arrives at the JKIA from the US.
Screenshot_20180920-134637.jpg
 
Mimi haniumi lakini ningekuwa LDC ningeumia mbaya sana, hivi wewe inakuuma kuwa LDC.
kwani unadhani Tz tunafanya nini? the fact that we are challenging you morons proves that we are making new strides
 
Mnaona pande la pasi wanalotupigia wachina huko ASIA

 
Back
Top Bottom