Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is the most diversed nation in east Africa. Hilo ndio jambo ambalo hamuelewi! Kuna watu kutoka sehemu mbali mbali as Ethiopia,Somalia, Seychelles,India,Uganda etc... How do you expect us to adupt an all round swahili language ?? So ilionelea kiingereza ikuwe lugha ya kwanza ju its a universal language. Nyinyi na Ubwongolala yenyu mkaweka Kiswahili itumike entirely hadi kwenye education system! na mnajua tu vizuri curriculum mnayoitumia sio ya Kiswahili Sasa mnasomaje Biology na Chemistry kwa kiswahili?? How??
we nyumbu ni mpumbavu na mtu usiye na akili hata kidogo. Kiswahili ni lugha ya kiafrika inyozungumzwa na watu wengi zaidi duniani hapa, unafikiri kiingereza kikitumika katika kila kitu hii lugha si itakufa kama latin. Wewe umeshakuwa brainwashed and the fact that you wrote this comment in swahili proves that you are a fool
 
Dar city
View attachment 871488
C8oWzZQXYAI0r_o.jpg
C9sLK2GXsAE8RGz.jpg
CgWz4KHWIAAX6-M.jpg
 
Look at this fool. Hio Swahili mnajigamba nayo is Made in Mombasa kenya kaka. Mombasa ndio waswahili Original nyinyi ni fake imitation. Ama babu yako hakukueleza ukitaka kujua kiswahili chenyewe enda mombasa,???
kiswahili cha mombasa ni cha kishoga.
 
hahahaha safi sana...dawa ya mtu jeuri ni kumuombea nja... hahahaha haki hawa ndege nimewapenda.....job well done.
IMG_20180919_212408.jpeg


ndege aina ya kwelea kwelea sio wa mchezo mchezo.
 
leta any aircraft imenunuliwa na kq cash ukipata nitag nyinyi hua munafanya sub lease my friend😂😂😂😂

nenda usome maana ya sub lease 👏👏👏
futa mawazo ya kumiliki any kind of aircraft😝😝😝😝😝View attachment 871142
We umeelewa hii kweli?
Ni Kenya Airways inapeana aircraft tuko na mingi sana hadi tunapeana zingine 😂😂😂
 
Back
Top Bottom