Estates ni nini? Ni kota au nyumba zinazofanana? mmiliki huwa nani?mmekataa kutuonyesha estates zenu hadi leo.........tumewaonyesha south b,south c,buruburu,langata ,komarock,umoja,innercore ,donholm ,kasarani,githurai,roysambu na hata kibera......nyinyi mbona huwa mnakataa kupost pale 90% ya dar people wanapoishi....lol.......
mbezi beach na oysterbay ni kwa asilimia 0.5 tu