Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is the most diversed nation in east Africa. Hilo ndio jambo ambalo hamuelewi! Kuna watu kutoka sehemu mbali mbali as Ethiopia,Somalia, Seychelles,India,Uganda etc... How do you expect us to adupt an all round swahili language ?? So ilionelea kiingereza ikuwe lugha ya kwanza ju its a universal language. Nyinyi na Ubwongolala yenyu mkaweka Kiswahili itumike entirely hadi kwenye education system! na mnajua tu vizuri curriculum mnayoitumia sio ya Kiswahili Sasa mnasomaje Biology na Chemistry kwa kiswahili?? How??

Hatimaye inakwenda kuwa official continental language heshima kwa tanzania na watz wote,wewe kaa ukikula githeli na kuongea kiingerea hapo.
 
watu wa kuparamia vya watu sisi huwaita malimbukeni
Hio kiswahili mnajigamba nacho kwani unadhani lilitoka wapi?? Mombasa ndio waswahili Original nyinyi ni kukopa mlikopa tu.
featured.jpg
town-view-1.jpg
 
Hatimaye inakwenda kuwa official continental language heshima kwa tanzania na watz wote,wewe kaa ukikula githeli na kuongea kiingerea hapo.
Look at this fool. Hio Swahili mnajigamba nayo is Made in Mombasa kenya kaka. Mombasa ndio waswahili Original nyinyi ni fake imitation. Ama babu yako hakukueleza ukitaka kujua kiswahili chenyewe enda mombasa,???
 
Hahaa naona imekuingia,kiswahili ianzie mombasa ije ieneee tz zaidi ya kenya!!!!???cell za kichwa yako zimeungua.
 
Hapana letea sisi ujinga na vile mnaamshana vidude kwa foleni na jasho la uswahilini.
View attachment 871081View attachment 871081
we ni mpumbavu sana. Mtu mzima usiye na akili hata kidogo sasa foleni ndio ubaya gani. Huelewi unachokisema coz hujawahi kuishi miji yenye foleni kwenye treni, nenda tokyo, New york au London asubuhi na mida ya jioni uone foleni ya watu
 
Back
Top Bottom