Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rafiki zangu wakenya na watz, naomba tuweke kando tofauti zetu kwa mda, tuungane kwa pamoja kuunga mkono harakati za waganda katika kumtaka rais museveni kumuachilia huru mwanasiasa na mwanamziki bob wine.

tuungie twitter na kuandika chochote kuhusu hili. binafsi tayari nimeshafanya hivyo.

tusipuuze kwa kudhani "ati hayatuhusu". leo bobwine, kesho wewe, mimi au ndugu yako wa karibu. tukumbuke watawala wa kiafrika wana tabia ya kuigana.

napenda sana maendeleo but honestly speaking sipendi utawala wa kidikteta ambao unaiyemelea tz chini ys magufuli.
i repeat, i love development but hate a leader who use some dictatorship tactics to bring development.
 
Lamu
tapatalk_1534603250118.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rafiki zangu wakenya na watz, naomba tuweke kando tofauti zetu kwa mda, tuungane kwa pamoja kuunga mkono harakati za waganda katika kumtaka rais museveni kumuachilia huru mwanasiasa na mwanamziki bob wine.

tuungie twitter na kuandika chochote kuhusu hili. binafsi tayari nimeshafanya hivyo.

tusipuuze kwa kudhani "ati hayatuhusu". leo bobwine, kesho wewe, mimi au ndugu yako wa karibu. tukumbuke watawala wa kiafrika wana tabia ya kuigana.

napenda sana maendeleo but honestly speaking sipendi utawala wa kidikteta ambao unaiyemelea tz chini ys magufuli.
Leo umeongea point
 
i repeat, i love development but hate a leader who use some dictatorship tactics to bring development.

hahaha........i thought magu was a "god" in tz....kuchoma vifaranga vya kikenya na kuzuia bidhaa ndio uongozi bora .........lol
 
rafiki zangu wakenya na watz, naomba tuweke kando tofauti zetu kwa mda, tuungane kwa pamoja kuunga mkono harakati za waganda katika kumtaka rais museveni kumuachilia huru mwanasiasa na mwanamziki bob wine.

tuungie twitter na kuandika chochote kuhusu hili. binafsi tayari nimeshafanya hivyo.

tusipuuze kwa kudhani "ati hayatuhusu". leo bobwine, kesho wewe, mimi au ndugu yako wa karibu. tukumbuke watawala wa kiafrika wana tabia ya kuigana.

napenda sana maendeleo but honestly speaking sipendi utawala wa kidikteta ambao unaiyemelea tz chini ys magufuli.
Kumuachia huru Bob Wine ni sawa ila we have to look at a bigger picture kwann Wakenya wako kimbelembele kui-instigate revolt in Uganda! Was Museveni any better before? Kenyans r just seeking to sabotage Museveni after the regional prospects' equilibrium is seen tilting towards unfavorability to them.

It's more than democracy pitia intelligence briefings uone jinsi viongozi wa great lakes regions wanavyowindana sasa hivi. Jiulize kwann COMESA meeting was abruptry cancelled! Jiulize in DRC what is their future post Kabila!

Msishangilie tu! Kingine what happened to friendship btn RAO n JPM? Mind u RAO counted so much on JPM to assist him in last election n got disappointed n decided to join Uhuru!

Banyanrwanda r being sent packing while refugees from South Sudan n Burundi n DRC r being hastened out of Uganda n Tanzania respectively. Meanwhile there is a change of guard in the region the US is no more influential the region is open for France n China to take total control.
 
Back
Top Bottom