Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajiabisha kijana, acha nikuache na hayo. Tafuta hizo ndege mbili nimekuonyesha alaf ujue ukweli.
nizitafute wapi ikiwa ushahidi huna πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani hata kitu cha mwwnaume pia munajisifu nacho kua chenu dahhh
 
Umegonga ndipo. Infact ni uwivu tu inasumbua hizi vijidanganyika. Surely! Nashangaa kuskia mtu hapa akisema ati KQ ni ya mzungu How?? Ni mzungu mgani huyo alinunua Kq
tuwe na wivu wakat ndege sio za kwenu na bado munaimba na loss miaka mitanoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
KQ Boeing 777-300ER and KQ Boeing 787-8
soma hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
3DE66357-C740-4EF6-8C7A-18992A1AAB23.jpeg
 
sub lease maana yake wewe umenikodishia na mimi pia nakodisha ndio maana yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Tatizo lingine hata kiswahili ni mazuzu pia, sijui kama watakuelewa
 
hahhaahhahahahahahaha raha sana kuwa na ndege zako mwenyewe tena umenunua kwa pesa zako mwenyewe .... hata siku kukiwa na tatizo unajua nini cha kufanya

sasa kq kila kitu ni cha mzungu , ceo mzungu, board ya kq wazungu na wahindi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
SGR its not your ambition my friend dunia nzima sasa hvi inajenga SGR toa ujinga
SGR yenyewe mumechakazwa na mchina kindaki ndaki mumeletewa treni za 100yrs agokichwani eti port expansion wewe sijui kama akili yako iko sawa kweli dar port ilianza 1908
inamaana kenya ndio walioanzisha barabara
View attachment 871140
Ati 1908!! Kweli ni Dar Fishing village. By then Mombasa had already lived 100+ years na reli ilikuwa imefika Nairobi!
But all sayed, siongelei History hapa. Naongelea nyinyi ku copy project idea ya Lamu,JKIA expansion,SGR, na Pipeline all ideas originating from Kenya's big 4 agenda! Si mkue creative kama Ethiopia na Rwanda.
 
hahhaahhahahahahahaha raha sana kuwa na ndege zako mwenyewe tena umenunua kwa pesa zako mwenyewe .... hata siku kukiwa na tatizo unajua nini cha kufanya

sasa kq kila kitu ni cha mzungu , ceo mzungu, board ya kq wazungu na wahindi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na ndiyo maana wanajipendekeza sana kwa wazungu
 
Ati 1908!! Kweli ni Dar Fishing village. By then Mombasa had already lived 100+ years na reli ilikuwa imefika Nairobi!
But all sayed, siongelei History hapa. Naongelea nyinyi ku copy project idea ya Lamu,JKIA expansion,SGR, na Pipeline all ideas originating from Kenya's big 4 agenda! Si mkue creative kama Ethiopia na Rwanda.

tumekua creative sisi hatusubiri tukopeshwe mfano ATCL , RELI
 
Ati 1908!! Kweli ni Dar Fishing village. By then Mombasa had already lived 100+ years na reli ilikuwa imefika Nairobi!
But all sayed, siongelei History hapa. Naongelea nyinyi ku copy project idea ya Lamu,JKIA expansion,SGR, na Pipeline all ideas originating from Kenya's big 4 agenda! Si mkue creative kama Ethiopia na Rwanda.
ujanja ni kutumia nafasi! mliona fursa mkashangaa shangaa tukawanyanganya deal la pipeline, mkalaliwa na wachina SGR, sisi tunatengeneza modern SGR zaidi yenu, tuliwaona mnapata watalii wengi kupitia National airline na sisi tukafufua shirika letu kwa fedha zetu wenyewe na si mikopo ya gharama kama ya kwenu. Muda ni hakimu mzuri.
 
Back
Top Bottom