Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
And remember to wake me up when mwanza gets a 17 floor tower or above that height![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kumaanisha Eldoret imeshinda mwanza kwa hight!

And remember to wake me up when mwanza gets a 17 floor tower or above that height![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kumaanisha Eldoret imeshinda mwanza kwa hight!

Hio hata hatukupeleki malindi. Eldoret ishawameza already.Ambalo lini tayar nyie bado mnamchoro
Hebu soma... Najua haumini... kia since 2012 mombasa 6 yrs behind![]()
![]()
Apart from Dar ni wapi kwengine kuna airport Tz!?? Ebu leta evidence naweza panda ndege from Kigoma/Mwanza/Arusha/Dodoma to Qatar!! acha ufala hapa.
labda usubiri yesu ashuke😂😂😂😂Malindi inataka kukimbiza dar ile style haiko![]()
![]()
![]()
![]()
Mkifika Eldoret 26 mnitag
Tafadhali elezea wenzako waeleweHata bila kufika picha znajionyesha mnazotupia wenyewe humu nimefik kisumu pamepangika vizuri kuliko mwanza na sielewi kama hili nalo linaubishi
ndio tower pekee inayotegemea eldoret nzima😂😂😂😂😂😂😂
mkenya mwenzio huyo kama hujui😂😂😂Tafadhali elezea wenzako waelewe
enyewe. ni kupoteza muda. wawache waendelee kushindana na ndovu kunia....najua sisi hatuna uwezo wa kupambana na Wakenya kwa lolote...wenzetu wanazo-strategies kwenye kila field;iwe ni biashara,elimu,ulinzi,ustaarabu mpaka intertainment so,kupambana na Wakenya ni kupoteza muda!
naona unajifurahisha na ndugu yako 😂😂😂😂😂😂😂😂enyewe. ni kupoteza muda. wawache waendelee kushindana na ndovu kunia....
kikikikikiiiiiii
usitamani kuona hizo picha za 'airport' zimekaa kama zizi la ng'ombe halafu wamechora juu ya mabati ati "WELCOME MWANZA AIRPORT"
this guys are just foolsMwanza iko na ngapi zimefika 20 & above???ndio tower pekee inayotegemea eldoret nzima![]()

ni kweli wendawazimu wapo hapa kwenye huu uzi wa BattleNi Mwendawazimu tu ndiyo leo hii anaweza kusema kwamba Wakenya hawatuwezi wakati Kiuhalisia na kwa wale wenzangu na mie tuliobahatika kidogo tu kutembelea hiyo nchi ukweli ni kwamba Wakenya wametuacha nyuma ' almost ' kwa Vitu vingi na katika Nyanja / Sekta nyingi tu. Siku zingine mnapoona Mada nzito kama hizi ambazo zinahitaji michango ya Great Thinkers na Wewe ukijijua kabisa ama Kichwani mwako hazikutoshi au Bangi kama siyo Gongo imekutawala basi usiwe unapoteza muda wako Kuchangia kwani utakuwa unajidhalilisha tu na tutazidi Kukupuuza vile vile.
Huyu si mkenye. Ni mtanzania aliye fika Kenya. Hata wewe ukisafiri ukuje huku utakubali tu hivyomkenya mwenzio huyo kama hujui
analazmishwa aitwe mtanzania
pole.naona unajifurahisha na ndugu yako 😂😂😂😂😂😂😂😂
wengi washafika na ni vizuri wanawafamisha wenzao ambao bado hawaamini. hawa waliopo hapa, vichwani mwao wanatawaliwa na bangi mbichi na gongoHuyu si mkenye. Ni mtanzania aliye fika Kenya. Hata wewe ukisafiri ukuje huku utakubali tu hivyo
Ni Mwendawazimu tu ndiyo leo hii anaweza kusema kwamba Wakenya hawatuwezi wakati Kiuhalisia na kwa wale wenzangu na mie tuliobahatika kidogo tu kutembelea hiyo nchi ukweli ni kwamba Wakenya wametuacha nyuma ' almost ' kwa Vitu vingi na katika Nyanja / Sekta nyingi tu. Siku zingine mnapoona Mada nzito kama hizi ambazo zinahitaji michango ya Great Thinkers na Wewe ukijijua kabisa ama Kichwani mwako hazikutoshi au Bangi kama siyo Gongo imekutawala basi usiwe unapoteza muda wako Kuchangia kwani utakuwa unajidhalilisha tu na tutazidi Kukupuuza vile vile.
Pole sana mkuu.. pikipiki noma sana, ilikua bara bara ipi?Wadau samahanini sijui kama ni mbaya mtu kueleza jambo lake. ...
Kuna rafiki yangu kafariki leo ajali ya bodaboda...nlimaliza had chuo miaka michache tu iliopia,nmeumia sana!!tuishi kwa amani mazee
Hizo cities ziko kanda zingine na sio peer zetuKwani hatukuiona cairo au johanesburg???
Vyovyote vile iwavyo kuna cha kujivunia katika vyote hivyo? Humu ndani picha slums za Kenya zinazokuwa posted n from Kibera tu lakini aerial view ya mji wowote wa Tzn ni poorly unplanned settlements as you call it tena huko unplanned ni maeneo yenye nafuu but place kama Gomz yaani nyuma ya nyerere road ni hovyo kabisa yaani angalau mashowrooms yanaficha aibuAhaaa haaa haaa
unless you are not a general planning scheme (GPS) professional, there is a big difference between UNPLANNED SETTLEMENTS and slums. compare makongo juu Dar and kibera Nairobi.
this is