Hili wala lisikupe presha mkubwa muda utafika we will build vertical city kwny baadhi ya maeneo wamarekeni wanaita projects tukifanya hiv tutasecure maeneo makubwa tu karibu na CBD hayo yatatumika kwa ajili ya parks,public services na mengine yatauzwa kwa gharama kubwa kwa ajili ya uwekezaji binafsi sasa hiv ni miundo mbinu kwanza ndo msingi kukaa kwny hayo maghorofa ya kufanana tope kila mahali bado ni umaskini tu yasikutishe wanaojiweza hukaa nje ya mji wakimiliki ekari na ekari hiyo mpk ulaya iko hivyo!!!