Nmesoma iyo makala vizur muandishi ni mkenya,BTW Nairobi wameinvest ksh5.4 trillion while Dar is ksh2.5trillion followed by Kampala ksh1.6trillion and Mombasa ksh 800billions...hii nazungumzia east Africa. ..
Katika ranks kama izo hua binafsi hazinishtui sababu similiki hata jengo la floor 5 kusema na mm nmechangia iyo list kuwepo...napata waswas kwa ndezi kama wewe unaefanya sherehe kabisa na pesa za wanaume wengine[emoji233] [emoji233] [emoji233] [emoji233]
...wake up buddy Nbo bado sana kusema mko mahali hata Durban ipo mnatuma video na picha hapa lakin bado mko down sana tu
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app