henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,119
hata hawa wanaopiga kelel humu kutoka 254 wengi wanakula mlo mmoja huku wakitumia WIFI za majirani zao
Umeshatembelea nchi ngapi so far?. Je ushawahi pata picha ya Nairobi ya mwaka 1950 ukafananisha na ya TZ 1950 ili ujue umetoka wapi na uko wapi.Vyovyote vile iwavyo kuna cha kujivunia katika vyote hivyo? Humu ndani picha slums za Kenya zinazokuwa posted n from Kibera tu lakini aerial view ya mji wowote wa Tzn ni poorly unplanned settlements as you call it tena huko unplanned ni maeneo yenye nafuu but place kama Gomz yaani nyuma ya nyerere road ni hovyo kabisa yaani angalau mashowrooms yanaficha aibu
Uliona vile zinakimbizana na Dar kwa wealthy cities of Africa yani hata hamna 2nd City iliyotokea kwa ile list.Av been to Mombasa Several time, I wonder you guys regard that dirty place a city..
Hehehehehe mtaendelea kuisoma namba.Hivi Are we arguing with People or Monkeys? Mbona hivi vijamaa vya huko kenya ni vijinga kiasi hiki?
Vyovyote vile iwavyo kuna cha kujivunia katika vyote hivyo? Humu ndani picha slums za Kenya zinazokuwa posted n from Kibera tu lakini aerial view ya mji wowote wa Tzn ni poorly unplanned settlements as you call it tena huko unplanned ni maeneo yenye nafuu but place kama Gomz yaani nyuma ya nyerere road ni hovyo kabisa yaani angalau mashowrooms yanaficha aibu
Kisii ni bonge la mji
We jamaa unanifrahishaKisii ni bonge la mji
acha kudanganya watu, nimewahi kufika kisii, ni pakawaida sana.Kisii ni bonge la mji
🙄kilimanjaro ina zaidi ya 8 direct international flights😂😂😂😂
U have never set foot in Kenya..I proved that long time agoacha kudanganya watu, nimewahi kufika kisii, ni pakawaida sana.
pia nimefika mpaka nyamache.
Are you dreaming about Construction of PHASE 2A or 2B because as for now the construction of 2A is 80% complete,Kindly note the construction of section 2B has not even started,so i dont understand where you people get all this crap..and the funny thing is that you keep quoting sources from Kenyans please find something else tangible to discuss a topic that will not leave you with rotten eggs on your face.hahaha...watu wa namna hiyo hata hapo kenya wapo wengi sana, tukiamua kuleta tweet za wakenya wanaokosoa masuala ya kenya jf haitatosha.
View attachment 869236
This is our heritage,our goal and pride!..a country that has no equal to its zeal and attitude...we are really unbwogable...Viva Kenya,.I like the way Nike keeps it. View attachment 869415
unabisha au unataka kujua 👏👏👏😂😂
I dont understand,you went there for the mission dirt search and on reaching there you found dirt and now you are reporting that you found dirt to who?...who paid you for this and how did you found out that Mombasa is dirty?..after you found the dirt where did you take it?.Av been to Mombasa Several time, I wonder you guys regard that dirty place a city..