Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haki nilidhani the study was conducted by some institution from a developed country in world.

sikufikiria ni institution ambayo ipo mauritius.

kanchi kenye gdp ndogo kanazifanyia study nchi zenye gdp kubwa...smh
View attachment 868919
This is why Africa was colonised. Kwani watu wako mauricius na wale wako Britain wengine ni Miungu na wengine wanyama!?? We Africans need to start inventing and appreciating our selves before we get colonised for the second time.
 
haki nilidhani the study was conducted by some institution from a developed country in world.

sikufikiria ni institution ambayo ipo mauritius.

kanchi kenye gdp ndogo kanazifanyia study nchi zenye gdp kubwa...smh
View attachment 868919
Nkt! You really don't know the meaning of GDP. Buda kwanza do you think Mauritius ni LDC this country is even bater than S.A na uko hapa kujidanganya na GDP ya Island country. Ebu angalia per capita ndio ujue unaongelea nini.
 
Hehe Qatar inatua int airports zote bongo.. Imeanza kuja toka 2012 sijui 2013 badala uskitike qatar inashuka nairobi na mombasa wakati Kq ingeweza kwenda direct msa doha we unafurahi
Apart from Dar ni wapi kwengine kuna airport Tz!?? Ebu leta evidence naweza panda ndege from Kigoma/Mwanza/Arusha/Dodoma to Qatar!! acha ufala hapa.
 
mamilioni ya wakaazi wa dar hawajawai kupanda flyover, wacha hata kuiona vile inavyofanana. unaweza kuwaambiaje hivi sasa dar imepata kujenga flyover yake ya kwanza tangu dunia ianze?
unapost as if Kenya kuna fly over..!!!!monkeys mna tabu sana mngekuwa na maisha mazuri tungepata tabu sana,ukiona mtu anawasifia sana Kenya ujue huyo hajawahi kuja huko au atakuwa mwanachadema maana wao ndo wenye tabia ya kufananisha bongo na vinchi uchwara vya afrika mashariki,
ukweli ni kwamba hata nyinyi kenya hamna flyovers wala nini mna upuuzi,hata hii ya tazara ni nzuri kuliko hata huo ujinga wenu wa Nakuru!
 
umeposti kwa uchungu kweli. pole kama imekuuma.
 
unapost as if Kenya kuna fly over..!!!!monkeys mna tabu sana mngekuwa na maisha mazuri tungepata tabu sana,ukiona mtu anawasifia sana Kenya ujue huyo hajawahi kuja huko au atakuwa mwanachadema maana wao ndo wenye tabia ya kufananisha bongo na vinchi uchwara vya afrika mashariki,
ukweli ni kwamba hata nyinyi kenya hamna flyovers wala nini mna upuuzi,hata hii ya tazara ni nzuri kuliko hata hio yenu ya Nakuru!
shukran kwa kutambua kua kuna flover Nakuru. mbali na Nakuru, miji mingi ya Kenya ina flyovers nyingi saana tu. i've lost count
 
I think we Don't want that, we need to distribute our resources over all Tz Regions,
Not like Kenya where 90% of The country wealth is accumulated in Nairobi, Leaving 90% Of country rotting in extreme poverty,
Let us be please.
Kenya itself has just been ranked as the 5th richest country in Africa! Nakama unasema Everything happens in Nairobi then give me any 2nd East African City that can even come close to Mombasa! Buda Kenya is not Tz! hio mbaka sasa hujaelewa???
 
Back
Top Bottom