Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
The dice is cast and the final results are out...officially Nairobi is the sixth wealthiest city in Africa.Nairobi ranked sixth wealthiest Africa city
 
With all that its not leading in East africa and even tanzania
kwani wewe unadhani katika tournament cecafa 2017 iliyofanyika kenya,ni tv station gani ya east africa iliyoshinda kandarasi ya tv rights?.
au 2017 ulikuwa bado haujakuwa matured? [emoji23][emoji23]

utajua haujui[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
tapatalk_1537151676255.jpeg
tapatalk_1537151647476.jpeg
 
EVEN Diamond can buy upperhill as a whole.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Diamond mtu hata hawezi afford lunch hillton ataanzaje kununua upper hill?? Ama ni ju anawaonesha hizo pesa value less zikiwa kwa gunia mnadhani ako na doh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Diamond is the second richest musician! (Not person) in east Africa closely behind mweshimiwa Jagwar. So mcheze ndogo.
tapatalk_1536678486873.jpeg
List-Of-Expensive-Cars-Owned-By-Starehe-MP-Jaguar-in-Photos-6.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Diamond mtu hata hawezi afford lunch hillton ataanzaje kununua upper hill?? Ama ni ju anawaonesha hizo pesa value less zikiwa kwa gunia mnadhani ako na doh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Diamond is the second richest musician! (Not person) in east Africa closely behind mweshimiwa Jagwar. So mcheze ndogo.View attachment 868593View attachment 868594
diamond ni msanii alieanza juzi tu lakini anamafanikio makubwa sana kuliko msanii yoyote africa mashariki

moja ya kampuni yake
8BF4B36F-1E77-4C97-8B22-F4D8D35D2FF7.jpeg
 
All in All,
Hii Species ni kiboko yao,
Wazungu wamesanda,
Jamaa anaonekana anaweza kimbia toka Dar hadi Iringa na Kurudi,
tapatalk_1537161314224.jpeg
tapatalk_1537161319667.jpeg
 
Watz tuache kutia aibu yaani tu fly over 2 ndo kelele jukwaa zima afadhali hata tungekuwa karibu ku catch up na wakenya no wonder hatukujifunza kwa aibu ya kusherehekea lift
Tuna kaz kubwa ya kufanya kuhakikisha tunajenga miji yenye mandhari ya kuvutia na planned kama miji ya kenya.Mda wakati wa kuivimbia Kenya bado sana tena sana kelele za kijinga zipungue
 
Watz tuache kutia aibu yaani tu fly over 2 ndo kelele jukwaa zima afadhali hata tungekuwa karibu ku catch up na wakenya no wonder hatukujifunza kwa aibu ya kusherehekea lift
Tuna kaz kubwa ya kufanya kuhakikisha tunajenga miji yenye mandhari ya kuvutia na planned kama miji ya kenya.Mda wakati wa kuivimbia Kenya bado sana tena sana kelele za kijinga zipungue

Dogo utazimia na kifafa cha hasira bure,kama unadhani kenya ni peponi,una kaushamba ktk gene zako ambako hakatatoka mpaka mutation ya lazima.
 
nairobi ranked sixth wealthiest in Africa....only joburg cairo durban cape town and lagos pipped us..............darislum people.......the earlier you accept that Nairobi is an ivy league city in africa the better for you.........tafutaneni na mombasa ama maputo
 
Back
Top Bottom