Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watz tuache kutia aibu yaani tu fly over 2 ndo kelele jukwaa zima afadhali hata tungekuwa karibu ku catch up na wakenya no wonder hatukujifunza kwa aibu ya kusherehekea lift
Tuna kaz kubwa ya kufanya kuhakikisha tunajenga miji yenye mandhari ya kuvutia na planned kama miji ya kenya.Mda wakati wa kuivimbia Kenya bado sana tena sana kelele za kijinga zipungue
Ulitaka kusema nin labda, kwamba Kenya ni Ulaya au Amerika ama?
 
Everybody had the chance but we produce the best! Sahii anaogelea kwa doh. Guinees plus nike inamlipa. Plus ameshikilia record ya Olympics. Tanzania mko na nini??? Uwivu kweli itawamaliza nyinyi
593607408_1280x720-845x321.jpg
140928_121858_pb8_7461_c-540x420.jpg
 
Watz tuache kutia aibu yaani tu fly over 2 ndo kelele jukwaa zima afadhali hata tungekuwa karibu ku catch up na wakenya no wonder hatukujifunza kwa aibu ya kusherehekea lift
Tuna kaz kubwa ya kufanya kuhakikisha tunajenga miji yenye mandhari ya kuvutia na planned kama miji ya kenya.Mda wakati wa kuivimbia Kenya bado sana tena sana kelele za kijinga zipungue
Waambie wakuwe wangwana
 
nairobi ranked sixth wealthiest in Africa....only joburg cairo durban cape town and lagos pipped us..............darislum people.......the earlier you accept that Nairobi is an ivy league city in africa the better for you.........tafutaneni na mombasa ama maputo
Tell dem. hakuna haja tujidanganye hpa
 
nairobi ranked sixth wealthiest in Africa....only joburg cairo durban cape town and lagos pipped us..............darislum people.......the earlier you accept that Nairobi is an ivy league city in africa the better for you.........tafutaneni na mombasa ama maputo
source from makuru kayaba😂😂👆👆👆
 
rwanda imechagua tanzania kwenye SGR na sasa uganda pia imechagua Tanzania kwani wakenya mulikosea wapi??? na hio SGR imegeuka kua white elephant😂😂😂😂😂👏👏👏👏👏👇👇👇👇👇

537B7B6B-56F4-436B-A19D-605CAEAFA9B7.jpeg

👏👏👏👏👇👇👇👇👇

nairobi ranked sixth wealthiest in Africa....only joburg cairo durban cape town and lagos pipped us..............darislum people.......the earlier you accept that Nairobi is an ivy league city in africa the better for you.........tafutaneni na mombasa ama maputo
Nmesoma iyo makala vizur muandishi ni mkenya,BTW Nairobi wameinvest ksh5.4 trillion while Dar is ksh2.5trillion followed by Kampala ksh1.6trillion and Mombasa ksh 800billions...hii nazungumzia east Africa. ..
Katika ranks kama izo hua binafsi hazinishtui sababu similiki hata jengo la floor 5 kusema na mm nmechangia iyo list kuwepo...napata waswas kwa ndezi kama wewe unaefanya sherehe kabisa na pesa za wanaume wengine
...wake up buddy Nbo bado sana kusema mko mahali hata Durban ipo mnatuma video na picha hapa lakin bado mko down sana tu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom