Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

8FD9E309-CDE2-48B2-9971-4FCF45486FD4.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napenda vile unakach mafeelings kama malaya. Alafu when all this becomes a reality utaskia ohh zilijengwa na wazungu ohh uhuru alijenga mara ohh kibera[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kicks of a dying horse.
Kama mtu mwenye akili timamu lakini ndoto yake haipewi umuhimu, je ndoto ya Kichaa inakuaje?. Acheni kusubiria mambo ambayo sio yenu na sio muhimu sana, anzeni kwanza kujitosheleza kwa chakula, boresheni public hospitals na punguzeni unemployment rate kwanza.
 
hahahahahaa mmeshakula kwenye ule mgahawa wa kibera ambao ni free kabisa unaokota ugali na sukuma zilizopikwa siku 4 zilizopita
 
ooh thanks for showing us a photo of your white husband. [emoji23][emoji23][emoji23]
mmmmh!..by answering you i will probably legalize stupidity so what should do i do?..let you vomit and froth your intestine with indigestion of Albino flesh and drain it with your urine.
 
mmmmh!..by answering you i will probably legalize stupidity so what should do i do?..let you vomit and froth your intestine with indigestion of Albino flesh and drain it with your urine.
i thought it could be an issue of prestige for you to be a wife of mr. arnold schwarzenegger since he is a well known celebrity in the world.

sorry girl, won't say it again. [emoji23]
 
How can i get angry with Tanzanians...people with low IQ,low self esteem...poor,scavengers with no hope of tomorrow...i can only refer you as a leftover of creation...you are way below my Class and life grading.
punguza povu jobless. [emoji23]
 
WAKENYA MJIFUNZE KISWAHILI MAANA KINAKUA KWA KASI:

1. Charger - kimemeshi
2. Remote - kitenzambali
3. Password - nywila
4. Akala (bladder shoes) - kirikiri
5. Passion fruit - karakara
6. Kangaroo - bukunyika
7. Fridge - jokofu
8. Juice - sharubati
9. Chips - vibanzi
10. PHD - uzamifu
11. Masters degree - uzamili
12. Degree - shahada
13. Diploma - stashahada
14. Certificate - astashahada
15. Keyboard - kicharazio
16. Scanner - mdaki
17. Flash disk - diski mweko
18. Mouse (for a computer) - kiteuzi
19. Floppy disk - diski tepetevu
20. Computer virus - mtaliga
21. Distillation - ukenekaji
22. Evaporation - mvukizo
23. Synthesis - uoanishaji
24. Oesophagus - umio
25. Greenhouse - kivungulio
26. Femur - fupaja
27. Germ cell - selizazi
28. Humus - mboji
29. Nector - mbochi/ntwe
30. Nutrients - virutubisho
31. Crystal - fuwele
32. Appetizers - vihamuzi
33. ATM - kiotomotela
34. Business card - kadikazi
35. Scratch card - kadi hela
36. Simcard - kadiwia/mkamimo
37. Memory card - kadi sakima
38. Microwave - tanuri ya miale
39. Mobile phone - rununu/rukono
40. Stapler - kibanizi
41. Laptop - kipakatalishi
42. Power saw - msumeno oto
43. Duplicating machine - kirudufu
44. Photocopier - kinukuzi
45. Cocktail party - tafrija mchapulo
46. Air conditioner - kiyoyozi
47. Calculator - kikokotozi
48. Lift - kambarau
49. Reaction - radiamali
50. Toothpick - kimbaka
Hii supehighway unaita aje huko kwenu hata kama haijafika Tz?
1536759848627.png
1536759848627.png
 
Hii supehighway unaita aje huko kwenu hata kama haijafika Tz?
View attachment 864107View attachment 864107
Sazingine najiulizanga what's the meaning of this thread. Dar hata haina super-highway/bypass yoyote then they want to compare themselves with us?????? How?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ke-infrastructure-for-economic-growth-and-shared-prosperity-in-kenya-addressing-infrastructure...jpg
bypass3.jpg
bczuata6orqhc6qduhq5821866d9d5e4-2.jpg
download-20.jpg
download-21.jpg
bypass2.jpg
download-23.jpg
Kangundo-Road-Junction-from-Mtindwa-Umoja-1.jpg
 

Attachments

  • 3809-chinaroad-05.JPG
    3809-chinaroad-05.JPG
    73.3 KB · Views: 26
  • 3809-chinaroad-02.JPG
    3809-chinaroad-02.JPG
    86.3 KB · Views: 25
Eldoret pia naona ilijikaza now its time for Mombasa at least pinnacle ipate sister yake & this also means competition of the tallest building in Africa now is between Nairobi & Mombasa si Joburg tena.
Nomaaaaa.....Hapana chezea Kenya[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Back
Top Bottom