mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Hapa pia ipo ya kutokea Thika hadi Nairobi on a daily basis pia kunayo nairobi to kibera daily ila foleni zinazidi kuongezeka. Suluhu kwetu itakuwa ni more wider roads, interchanges, overpasses na pia trams and BRT.Changamkeni niweke hata treni za kuzunguka mji kwenye major roads zisaidie ,ni hatar mji kutegemea usafiri wa barabara pekee...hapa dar kuna treni inapiga route ya Posta kwenda Pugu daily hua inasaidia sana