Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni
Ni ushuzi tuu kulinganisha hiyo Downtown na Kariakoo, weka akilini kwamba Kariakoo ni largest business district East and Central Africa nzima

Kariakoo yenye mitaa zaidi ya 30 unataka ufananishe na takataka hiyo, huu ujinga sasa
You mean Market!

Kariokoo hio.....
dar-es-salaam-kariakoo-congo-street-2-douglas-kahabuka.jpg
 
atiiiiiiiiiiii nairobi iipite joburg.....kweli naamini njaa inaua akili za mtu
Napea Jiji kuu 3 years alafu mtakuja kukubali wenyewe. Its just a matter of perfection. Ju sahii tusijidanganye Dar Imefikia Nai tuseme ukweli like mature guys. The render nimeweka hapo ni testimony of how Nairobi is overtaking the skylines of African cities in just 3-4 years. Dar will be completely incomparable to Nairobi in just two years from now that you'll all testify.
tapatalk_1536415976819.jpeg
tapatalk_1536719989195.jpeg
tapatalk_1536687355938.jpeg
tapatalk_1536286688685.jpeg
tapatalk_1536166822859.jpeg
tapatalk_1536211839473.jpeg
tapatalk_1535860776305.jpeg
SGR-Nairobi-Terminus-800x445.jpg
tapatalk_1532616366242.jpeg
Screenshot_20180717-191845.jpg
1_0dtcubtVyJt7568gPLDhkA.jpeg
tapatalk_1536286105658.jpeg
dTPACsE.jpg
 
Napea Jiji kuu 3 years alafu mtakuja kukubali wenyewe. Its just a matter of perfection. Ju sahii tusijidanganye Dar Imefikia Nai tuseme ukweli like mature guys. The render nimeweka hapo ni testimony of how Nairobi is overtaking the skylines of African cities in just 3-4 years. Dar will be completely incomparable to Nairobi in just two years from now that you'll all testify.
View attachment 863583View attachment 863584View attachment 863585View attachment 863586View attachment 863587View attachment 863589View attachment 863590View attachment 863591View attachment 863593View attachment 863595View attachment 863596View attachment 863597View attachment 863601

kwahiyo hao joburg wao wtakua wamekaa tu ... unajua projects zilizopo joburg kwa sasa ni nngapi ... wakenya mkae mtulie tu labda mjilinganishe na accra au lagos hiyo ndiyo lligi yenu
 
Na wewe unajua projects ngapi ziko Nairobi!?? Top companies are shifting in the east sab-saharan capital (Nairobi) from Jo'burg day in day out. Thats enough evidence the city is taking over.
 
mwiba.
simple math/logic:

msingi wa hii battle ni dar vs nairobi au nairobi vs dar kama wakenya walivyo request mwaka 2017.

ila sio dhambi ku-tease masuala ya nje ya dar au ya nje ya nairobi ili kuchangamsha thread.

kwa mujibu wa wakenya wa jf nairobi metro ni mjumuisho wa county nne, nazo ni nairobi, kajiado, machakos na kiambu.

View attachment 863536

ukubwa wa eneo la dar es salaam ni 1,590 km² na ukubwa wa eneo la county ya nairobi ni 696 km². kwa maana hiyo dar es salaam imeizidi ukubwa nairobi kwa 894 km².

kwa upande wa kenya kila county ina ukubwa wake. ukijumlisha kilomita za mraba za county zote nne zinazotengeneza nairobi metro, unapata 30,391 km².
View attachment 863543
View attachment 863544
View attachment 863545
View attachment 863546

Hitimisho(conclusion)
dar es salaam yenye ukubwa wa 1,590 km²
inapambana peke yake na eneo linalounda nairobi metro lenye ukubwa wa 30,391 km². yaani county nne zinatolewa jasho na mkoa mmoja tanzania.this is shame.

so it's 30,391km² vs 1,590 km².
pongezi kwa dar es salaam.

NB: hii post ni ngumu sana kwa wakenya kui qoute na kuijibu kisomi. sanasana watajaribu kuijibu kwa emotions, povu na hasira.
 
Utaambiwa mara ngapi hata New York ni 784 km2 with a population of 8,622,698? Sasa kwa akili zako za omba omba hebu tuambie vile Dar es sluum imeishinda New York.
 
If you were my student i tell you, i could have been told your parents to keep teaching you a memory games! Can you go thrpugh yhe text i have had quoted you abo to spot a word cicilized above? You wrote word and i was trying to correct you young man!
WTF.PNG

Take a class for past and present tenses and also learn how to construct sentences using your brain not your shit
 
Utaambiwa mara ngapi hata New York ni 784 km2 with a population of 8,622,698? Sasa kwa akili zako za omba omba hebu tuambie vile Dar es sluum imeishinda New York.
povu as i expected.

county nne vs dar es salaam.
 
Napea Jiji kuu 3 years alafu mtakuja kukubali wenyewe. Its just a matter of perfection. Ju sahii tusijidanganye Dar Imefikia Nai tuseme ukweli like mature guys. The render nimeweka hapo ni testimony of how Nairobi is overtaking the skylines of African cities in just 3-4 years. Dar will be completely incomparable to Nairobi in just two years from now that you'll all testify.
View attachment 863583View attachment 863584View attachment 863585View attachment 863586View attachment 863587View attachment 863589View attachment 863590View attachment 863591View attachment 863593View attachment 863595View attachment 863596View attachment 863597View attachment 863601
Kwenye mawazo yako Dar imesimama😂😂😂😂
Mara World
MaraWorld4_zpse6cf3f62.jpg
4 (1).jpg

NHC
16915794049_294c9b8f4f_o.jpg
1pDGRyGucJg.jpg
 
Back
Top Bottom