malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,323
- 529
TAIFA LISILOKUWA NA UTAMADUNI WAKE HAKIKA HALINA MBELE WALA NYUMA, HII NDIYO KENYA, ALIYEWALOGA KUSOMA NI KUZUNGUMZA KIINGEREZA NI NANI?Layman's IQ at work.
TAIFA LISILOKUWA NA UTAMADUNI WAKE HAKIKA HALINA MBELE WALA NYUMA, HII NDIYO KENYA, ALIYEWALOGA KUSOMA NI KUZUNGUMZA KIINGEREZA NI NANI?Layman's IQ at work.
siku chache zilizopita nili-post kuhusu matatu za nairobi na kikundi cha watu walionyuma ya biashara hiyo ambao wanaogopwa sana na traffic wa kenya na hata abiria.
hapa chini kuna habari kuwa eti matatu(daladala) imeingia katika msako wa kukimbizana na polisi baada ya kuigonga gari ya polisi.licha kosa hilo, matatu hiyo haikusimama. ikaendelea na safari zake. hii ni jeuri iliyopitiliza.
View attachment 861790
hapa dar ni nadra sana upuuzi kama huu kutokea,kwa sababu daladala zinafahamika sana.kama itagonga gari la mtu mwingine lazima itasimama ili traffic aje atathimin ajari.na kama itaendelea na safari, hilo litakuwa ni kosa lingine kubwa kwa dereva na gari.
halafu soma comments za baadhi ya wakenya waliostaarabika wanavyokosoa utamaduni wa matatu.
View attachment 861791

.Haha so what?.Tanzania doesnt even have media freeedom....you are colinised by jiwe magufuli...online restricted...CCM is like a religion...Fool..gain internal independence first...
I just know media freedom + opposition freefom is zero in TzWhat do you know about media freedom???
Don't derail the topic, you do worship wazungu and their language, that is the fact. On the issue of democracy, Tanzania is far ahead of Kenya in every aspect,Haha so what?.Tanzania doesnt even have media freeedom....you are colinised by jiwe magufuli...online restricted...CCM is like a religion...Fool..gain internal independence first...
People think that if you are a journalist you can talk any shit you want, katiba yetu inasema kila MTU anayo haki ya kuheshimiwa na kuthaminiwa utu wake,What do you know about media freedom???
Hah hah wanaongea kiingereza lunch wanakula kiberauchumi wakati ndiyo huo ...wakija wanaongea kingereza kingi kumbe wamekula majalalani kam vichaaa 😀😀😀😀😀
jalalani kabisa, yaani hii siiiti aibu bali naiita hali halisiHah hah wanaongea kiingereza lunch wanakula kibera
Huu ndio uwanja sasa sio Viwanja vya mbuzi KenyaSSC vs AFCView attachment 860700
tafiti zinaonyesha kenya ina number kubwa ya vijana wasio na ajira.U just havent you couldnt have hesitated to send a pic of passport like u always send screen shots of cheap Xiaomi phone specifications.

hapa kazi tu. [
hii habari ni mbaya kwa wale monkeys wanaokota viporo jalalani pamoja na washirika zao wa kule ufipa 😀😀😀😀😀
Duuh! Hatari sanahaya nenda wahi jalaalni ukatafute nyama yakula mchana wenzako watakuwahi ushinde njaa leo😀😀😀😀
But you havent set foot in Kenya...Stop bragging on the low-Pay Jobs.tafiti zinaonyesha kenya ina number kubwa ya vijana wasio na ajira.
nipo job saa hii najenga taifa langu. porojo za passport tutapiga jioni nikiwa kwa pub.
btw this is me.hapa kazi tu.
View attachment 862064
siku chache zilizopita nili-post kuhusu matatu za nairobi na kikundi cha watu walionyuma ya biashara hiyo ambao wanaogopwa sana na traffic wa kenya na hata abiria.
hapa chini kuna habari kuwa eti matatu(daladala) imeingia katika msako wa kukimbizana na polisi baada ya kuigonga gari ya polisi.licha kosa hilo, matatu hiyo haikusimama. ikaendelea na safari zake. hii ni jeuri iliyopitiliza.
View attachment 861790
hapa dar ni nadra sana upuuzi kama huu kutokea,kwa sababu daladala zinafahamika sana.kama itagonga gari la mtu mwingine lazima itasimama ili traffic aje atathimin ajari.na kama itaendelea na safari, hilo litakuwa ni kosa lingine kubwa kwa dereva na gari.
halafu soma comments za baadhi ya wakenya waliostaarabika wanavyokosoa utamaduni wa matatu.
View attachment 861791
We kwani Tz hamnanga shugli? Yani unafwatilia domestic news za kenya hadi kwa comments! No wonder mko LDC, you guys like day dreaming about kenya as if mko kenya yet you don't even know about your country.YOU Have never set foot on Kenya...Dont fool us with your online knowledge
Hujui hio ndio dream ya every kenyan neighbor! Hawa wasee hutamani sana kukanyaga kenya no wonder huwezi kosa Tanzanians waganda na somalis kenya. Wengine kwanza wakifika Nai au Mombasa nikama wamefika L.A

That's why tukisema Tanzania sio kenya unafaa kuelewa. This is not even the first time hii imetikea, its just a matter of kushika plate then the owner of the sacco is charged alafu stori inaishia hapo. There over a thousand saccos in kenya some are discipline zingine ni shida tu.mtu mjinga anayepanda so called matatu, hayo kwanza yalikuwa ni magari ya mizigo kisha wakayafanyia modifications kuwa public buses,hii inaonesha ni jinsi gani your security systems are shits!
yaani kudadeki matatu imegonga gari ya polisi then haikusimama ikasepa!!!..haiwezi kutokea bongo hiyo!!
Fool...greatest fool of all time..Goat of foolishness...Which language are u typing with?
kisukuma.