Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let's take a tour of the world's biggest slums:
  • Khayelitsha in Cape Town (South Africa): 400,000.
  • Kibera in Nairobi (Kenya): 700,000.
  • Dharavi in Mumbai (India): 1,000,000.
  • Neza (Mexico): 1,200,000.
  • Orangi Town in Karachi (Pakistan): 2,400,000.
HAHAHAHAHAHA, Nyang'aus wanaongoza kwa slums afrika, na duniani siyo wakubezwa
 
Nimekuwa Mchina tena ama lugha ya malkia ndio inakupiga chenga kama Jiwe....ze ze ze
mkataa chake ni mtumwa, lugha ya malkia ya nini? KISWAHILI KINATUTOSHA, FAHARI YA TANZANIA, FAHARI YA AFRIKA, ENDELEENI KUJIDAI WAINGEREZA! POOR NYANG'AUS
 
Last time I checked, Dar wa 92% slum.
NO RESEARCH NO WRITE TO SPEAK! LETA DATA, TATIZO LA MANYANG'AU WENGI NI POROJO! Tukisema NAIROBI inatia fora kwa slums tunatoa evidence zinazosupportiwa na data mbalimbali kutoka nje na ndani ya kenya, na nyie thibitisheni DAR kuna slums kama mnaweza bila kuunga unga vipicha vyenu vya google, ACHENE POROJO!
 
Nimekuwa Mchina tena ama lugha ya malkia ndio inakupiga chenga kama Jiwe....ze ze ze
Tanzania got total independence in 1961, to be independent includes economically, socially and culturally, unfortunately Kenya is half independent that's why you worship English language.
 
siku chache zilizopita nili-post kuhusu matatu za nairobi na kikundi cha watu walionyuma ya biashara hiyo ambao wanaogopwa sana na traffic wa kenya na hata abiria.

yaani hakuna kitu inawapa huzuni watu wa nairobi kama swala la kupanda kiholela kwa nauli ya matatu. wanaumia moyoni ila hawana pa kusemea.

nimejionea hili kwa macho yangu nikiwa nairobi. wafanyabiashara ya matatu ni kama kikundi fulani cha kimafia kinachoogopwa sana na watu wa nairobi.

the authority can't control them or say anything against them,the matutu cartel is
above the law.wanaongeza nauli au kupunguza vile wanavyojisikia wao.

hii yote ni kwasababu wakikuyu waliounda kikundi cha mungiki na kamjeshi miaka kadhaa iliyopita pia ndio hao hao walio dominate biashara ya matatu.kila mtu anaogopa kuingilia interest za wafabiashara hawa maana anajuwa akifanya hivyo lazima atafanyiwa umafia.kuna baadhi ya matatu za buru58 hata traffic huogopa kuzigusa kwa kuogopa majina ya wamiliki.

tz hakuna ujinga kama huo,hakuna kupanda nauli kiholela bila sumatra kuhusishwa. sumatra stands for surface and marine transport regulatory authority.

nimeandika haya nikiwa kama mtu mwenye uzoefu na pilika pilika za jiji la nairobi.sitegemei povu kutoka kwa wakenya.

View attachment 855760
hapa chini kuna habari kuwa eti matatu(daladala) imeingia katika msako wa kukimbizana na polisi baada ya kuigonga gari ya polisi.licha kosa hilo, matatu hiyo haikusimama. ikaendelea na safari zake. hii ni jeuri iliyopitiliza.
IMG_20180910_073846.jpg

hapa dar ni nadra sana upuuzi kama huu kutokea,kwa sababu daladala zinafahamika sana.kama itagonga gari la mtu mwingine lazima itasimama ili traffic aje atathimin ajari.na kama itaendelea na safari, hilo litakuwa ni kosa lingine kubwa kwa dereva na gari.

halafu soma comments za baadhi ya wakenya waliostaarabika wanavyokosoa utamaduni wa matatu.
Screenshot_2018-09-10-07-37-44-761_com.facebook.katana.jpg
 
siku chache zilizopita nili-post kuhusu matatu za nairobi na kikundi cha watu walionyuma ya biashara hiyo ambao wanaogopwa sana na traffic wa kenya na hata abiria.

hapa chini kuna habari kuwa eti matatu(daladala) imeingia katika msako wa kukimbizana na polisi baada ya kuigonga gari ya polisi.licha kosa hilo, matatu hiyo haikusimama. ikaendelea na safari zake. hii ni jeuri iliyopitiliza.
View attachment 861790
hapa dar ni nadra sana upuuzi kama huu kutokea,kwa sababu daladala zinafahamika sana.kama itagonga gari la mtu mwingine lazima itasimama ili traffic aje atathimin ajari.na kama itaendelea na safari, hilo litakuwa ni kosa lingine kubwa kwa dereva na gari.

halafu soma comments za baadhi ya wakenya waliostaarabika wanavyokosoa utamaduni wa matatu.
View attachment 861791
YOU Have never set foot on Kenya...Dont fool us with your online knowledge
 
YOU Have never set foot on Kenya...Dont fool us with your online knowledge
and FYI i also do have a child with a meru chick.my son is 5yrs now. mimi ni shemeji yako, nipe heshima yangu.

ni hiyari yako kuniamini au kutoniamini. sikulazimishi.
 
and FYI i also do have a child with a meru chick.my son is 5yrs now. mimi ni shemeji yako, nipe heshima yangu.

ni hiyari yako kuniamini au kutoniamini. sikulazimishi.
Those are mere stories give us a pic of your Passport???...utadanganya wajinga
 
YOU Have never set foot on Kenya...Dont fool us with your online knowledge
mtu mjinga anayepanda so called matatu, hayo kwanza yalikuwa ni magari ya mizigo kisha wakayafanyia modifications kuwa public buses,hii inaonesha ni jinsi gani your security systems are shits!
yaani kudadeki matatu imegonga gari ya polisi then haikusimama ikasepa!!!..haiwezi kutokea bongo hiyo!!
 
Look for fools to converse with
 
Back
Top Bottom