Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobae
DmVr85SW0AAeH9M.jpg
 
Haha you are very poor my friend...Do you need us to prove our wealth?..Utajidharau

Tuliitisha hapa hata battle sa simu,mkakimbia.

Ni kazi kiasi gani mtu na utajiri kumiliki simu ya maana??saa hii unaandaka nini hapa??
 
One thing I know about mtu anajichocha ni ye ndio maskini wa mwisho, aty kwa pub na kumbe uko kwa gate ya muindi churai.

Haha you are very poor my friend...Do you need us to prove our wealth?..Utajidharau
IMG_20180910_201131.jpg

IMG_20180910_201336.jpg

nilihaidi kwamba ikifika mida ya jioni nitakuwa free kwa porojo nikiwa nimechil kwa pub.

so nimeshatoka job and here i'm guys....nakaribisha maswali au hoja yoyote kuhusu mimi kufika kenya, kumiliki passport na kadhalika.

hao vilaza wawili hapo juu hawaamini kama nimefika kenya, hawaamini kama mimi ni mwenyeji sana wa mitaa ya nairobi,hawaamini kama nimezunguka county nyingi za kenya mpaka ushago kwao nimefika.
 
Attachments

  • IMG_20180910_201131.jpg
    IMG_20180910_201131.jpg
    50 KB · Views: 21
View attachment 862375
View attachment 862376
nilihaidi kwamba ikifika mida ya jioni nitakuwa free kwa porojo nikiwa nimechil kwa pub.

so nimeshatoka job and here i'm guys....nakaribisha maswali au hoja yoyote kuhusu mimi kufika kenya, kumiliki passport na kadhalika.

hao vilaza wawili hapo juu hawaamini kama nimefika kenya, hawaamini kama mimi ni mwenyeji sana wa mitaa ya nairobi,hawaamini kama nimezunguka county nyingi za kenya mpaka ushago kwao nimefika.

Kijana! Unawatesa hawa manyang'au! Saa hizi wapo Kibera wanabereka, wakati wewe upo kwa Public House umetulia kwa Daslaam. Mr Ass Arnold na Mwansiti ndukii!😉😉
 
Back
Top Bottom