This is Too Much!Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama, ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Yupo na hasira za SGR😂😂kenyatta kasharudi kwake😂😂😂👇👇
Wachina wajanja sana, wana colonize Africa kiutanitani tu.
vitu gani?Huyu mzee hivi vituko anavyoongea anaona yupo sawa kabisa vitu vya aibu tu
You guy retarded, always post nonsense!Kwani Nyerere alikuwa mtu wakwanza kusoma Tz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 859683
Usibishane na mvuta Bangi wa Nyeri😂😂😂You guy retarded, always post nonsense!
naona msee wa ratio ya 4/1 umerudi. [emoji23][emoji23]vitu gani?
Umemchinja chokoraa wakikenya peupenadhani kwa issue ya logo na rangi ya tanzania railway cooperation umeshafanuliwa vizuri na umeelewa kuwa hiyo rangi ndio ilikuwa inatumika tangu enzi za nyerere.hatuja copy toka kwenye sgr yenu.
sasa tuje kwenye issue nyingine inayohusu application ya jamiiforum na application ya ile forum yenu ya kenya(i can't mention it here because for some reasons, jf admin doesn't allow it). at the end we will know who copies who.
jamiiforum published its application in year 2012 and your kenyan forum published its application in year 2018.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859271
View attachment 859272
tukija kwenye interface, developer wa application ya forum ya kenya ameiga kila kitu toka kwenye application ya jamiiforum.
you can't even differentiate the interface of kenya forum with the interface of jamiiforum. everything look the same. copy and paste at its best.
this is me when i'm in jamiiforum via the app.
View attachment 859280
View attachment 859282
and this is me when i'm in that kenya forum via its app.
View attachment 859283
View attachment 859284
hope umejionea vile wakenya mnavyo copy toka kwa watz.
case closed.
Kweli kabisa wawanyooshe wasiliache hiliHapa JF wanatakiwa kufanya kitu kuhusu hawa watu, totally unacceptable
Inabidi ifunguliwe thread yakuipush if ifanye jambo halafu wanoko tuarikanekibisa yaani... jamaa wame kopi kila kitu. hili jambo walilifanya miezi michache iliyopita wakati jf ilipotoweka hewani.
nadhani walifanya hivo wakijua jf isingeweza kurudi tena hewani wakaamua ku take advantage...shame on them.
Wakenya wakuziona hizo huwa inawauma sanaSijui kama nimezirudia, mtanisamehe but i luv the brt Dar
View attachment 859574View attachment 859575View attachment 859576View attachment 859577
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.
Sawa ila ukitaka mziki udumu lazima nchi husika uwe na radha yake mfano mexican nadhani nyimbo zao tunazijua,marekani & British mziki wao tunaujua,Indian radha za mziki wao zinajulikana,south Africa kwaito nadhani tunaju,Tanzania bongo flavour,Nigeria mziki wao nao wamebunu midundo yao ....Yeah naamini sana, bongo tumekuwa sana na nyimbo za mapenzi, lakini pia vionjo vyetu havijakaa ki proffessional sana, from my own perspective though!
Kwahili nimepatwa na wasiwasi kwa sasa yawezekana tukawq tunadebate na wakenya machizi humu wehu[emoji3] [emoji3] [emoji3]i have realized you are the 1 in the 4.
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859778View attachment 859779
tag me if have you seen "likely".
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni miongoni mwa machizi[emoji12] [emoji134] [emoji3]kuna aina nyingi ya Mental Disorders... ila wale wa Tabora wametia fora 😀😀😀 hakuna County yoyote Kenya inayojulikana kwa vichaa na wendawazimu. Tabora iko on another level
Bila shaka target ya Huyo pastor ni kutafuta boy tzi usually don't go to church or attend gatherings that relate to church ministry.
but safari hii uzalendo umenishinda, lazima nita attend kwenye jumuiko la huyu pastor wa kikenya. niko na business naye.
[emoji23] [emoji23]
View attachment 859987View attachment 859988View attachment 859989View attachment 859990View attachment 859991
Kashatekwa nawasiojulikanaUtamfanya aahirishe maana tunajua anakuja kufanya nini.
Kuna yule mwenzao alisema anakuja kutembea dsm,sijui kalowea huku ama!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafuga m'mbu[emoji12] [emoji12] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Me nahisi ni mtazamo wake tuu, sidhani kama aliyoyandika hapo yana chembe ya ukweli kwa kiasi hikokifusi boy, kiwiko, Zuwenna.... mpoo???? tupieni maoni yenu basi tuweze kuwaokoa wakaazi wa Tabora kuhusiana na hili janga.