kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
kenya music tibim...How old are you really... Making points like a kid![]()





kenya music tibim...How old are you really... Making points like a kid![]()





Cheki picha ya zamani ya Dar, aliyotuma ya twin towers... halafu umemwekea ya sasa hivi tayari imesha zungukwa na majengo kibao...
hahahaha... hahaha.... hahahahaOH MY GODDDDDD!!!!!!!!!!! MOMBASA IS JUST ANOTHER VERSION OF NAIROBIView attachment 859677
takataka...your artistes including that love of yours called diamond cannot compose anything lyrically good that can be used in a musical. listen to these:
creativity is not all about the most views on youtube, maybe when you grow up you will understand.



hahahaha, haya kaka, nishaachana naeSasa huyu unayemjibu kwa juhudi hivi unajua hata hajui kuna sehemu inaitwa tabora,achana na picha za isevya.
Tanzanian music speaks for itself, we do not need to prove ourselves to these hooliganstakataka...![]()
Tabora ni Mkoa mojawapo wa Tanzania uliopakana na Mbeya, Kigoma, Shinyanga, Singida.Sasa huyu unayemjibu kwa juhudi hivi unajua hata hajui kuna sehemu inaitwa tabora,achana na picha za isevya.
wapi picha za Isevya?hahahaha, haya kaka, nishaachana nae
mwenzio alikuwa anakuchora mda wote....yaani mkenya akipata mtz anayezungumzia shida za tz huwa anafurahi sana.hahahaha, haya kaka, nishaachana nae
Wachina watupu jamani,wakenya mpo wapi,
Is this Kampala??? The capital of Uganda?? My my my... si afadhali Arusha..There is no doubt that Nairobi leads in infrastructure. A picture says alot about a place. In that order from top to bottom.
Nairobi
View attachment 859427
Addis Ababa
View attachment 859428
Dar es Salaam
View attachment 859429
Kampala
View attachment 859430
Kigali
View attachment 859431
hahahaha....wachina wamejezana kila kona.Wachina watupu jamani,wakenya mpo wapi,

du sijaangalia huko, kwani kwao hujafika, nenda kakamega huko sijui busia na bungoma hakuna mabadiliko yoyote, sana sana mombasa, nairobi, na kidogo kisumu, nilishafika kwao na huwa ninaenda napafahamu vizuri tu, asione na kwao hatupajuimwenzio alikuwa anakuchora mda wote....yaani mkenya akipata mtz anayezungumzia shida za tz huwa anafurahi sana.
pole sana comrade.
ila naomba ujiongeza kidogo kufatilia umasikini wa wakenya kwenye county zao, achana na magorofa au flyovers za nairobi.
hakuna cha kumchora. Wakenya wengi hawaijui Tanzania isipokuwa Daimond na Ali Kiiba. sasa shida iko wapi ninapotaka kuijua Tanzania kwa undani zaidi maana wengi wenu mliopo hapa kwenye hii 'bato', muko kiushindani zaidi. munaweza hata toa mapanga mda wowote au kuwaita watanzania watakao iongelea Kenya vizuri kwa majina ya ajabu ajabu.mwenzio alikuwa anakuchora mda wote....yaani mkenya akipata mtz anayezungumzia shida za tz huwa anafurahi sana.
pole sana comrade.
ila naomba ujiongeza kidogo kufatilia umasikini wa wakenya kwenye county zao, achana na magorofa au flyovers za nairobi.
tayari ameshakushtukia...hakuna cha kumchora. Wakenya wengi hawaijui Tanzania isipokuwa Daimond na Ali Kiiba. sasa shida iko wapi ninapotaka kuijua Tanzania kwa undani zaidi maana wengi wenu mliopo hapa kwenye hii 'bato', muko kiushindani zaidi. munaweza hata toa mapanga mda wowote au kuwaita watanzania watakao iongelea Kenya vizuri kwa majina ya ajabu ajabu.

du sijaangalia huko, kwani kwao hujafika, nenda kakamega huko sijui busia na bungoma hakuna mabadiliko yoyote, sana sana mombasa, nairobi, na kidogo kisumu, nilishafika kwao na huwa ninaenda napafahamu vizuri tu, asione na kwao hatupajui
hakuna cha kumchora. Wakenya wengi hawaijui Tanzania isipokuwa Daimond na Ali Kiiba.