Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mnajifanya hapa ila mnajua mji wenu mchafu na una umaskini wa hali ya juu.....asilimia 80 wanalala kwenye viota kama vile tulivyoona kwenye aeriel views na ndege angani
viota visivyojulikana google hvyo ni vya bibi yako,wewe unaona bati zisizo na rangi unadhani ni nyumba mbovu kama za kenya!!!
 
mnajifanya hapa ila mnajua mji wenu mchafu na una umaskini wa hali ya juu.....asilimia 80 wanalala kwenye viota kama vile tulivyoona kwenye aeriel views na ndege angani
Tunaomba kuona simu unayo tumia
😂😂😂 Tunaweza kuwa tunabishana na mtu wa Kibera😂😂
 
purple haze
purple haze 1.jpg
purple haze 3.jpg
purple haze 4.jpg
purple haze.jpg
 
Sijui mbona mnautoto sana most Tanzanians.... bragging juu ya masimu za below $1000.
Kuweni wanaume kamili
Tuonyeshe ya kwako.😂😂😂 Kama sio Itel basi techno😂😂😂 Nairobi CBD imejaa billboards za ITEL😂😂😂
 
Back
Top Bottom