A tuonyeshe hiyo techno.tuko tunabishana na tu humu,ila maisha ya kila mmoja ni sili yake.kwa asili watz hatupendi kelele.
haipendezi unakuja kunadi nyumba za nairobi na magari mazuri kumbe unazungumzia mali za watu,hata pesa ya matumizi ya kawaida ni tatizo kwako.
hiyo tecno ya dollar 900 haiwezi kununuliwa kwa bei hiyo mtu akiacha iphone 8 au s8.

