Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

buda i pity your limited mind..do you know that theres a tecno worth 900 USD...we unatumia itel ama Xiomi cha china??usiabike..simu ni simu..tuonyeshe yako..ama ni mkebe

Sent using Jamii Forums mobile app
tuko tunabishana na tu humu,ila maisha ya kila mmoja ni sili yake.kwa asili watz hatupendi kelele.
haipendezi unakuja kunadi nyumba za nairobi na magari mazuri kumbe unazungumzia mali za watu,hata pesa ya matumizi ya kawaida ni tatizo kwako.

hiyo tecno ya dollar 900 haiwezi kununuliwa kwa bei hiyo mtu akiacha iphone 8 au s8.
 
JM mall

IMG_3328.JPG
 
dude your disillusioned..who told you everyone likes an iphone..ama samsung za kwenyu use iphone operating system...an iphone is not a status quo...ama hyo simu yako ya itel use IOS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dude your disillusioned..who told you everyone likes an iphone..ama samsung za kwenyu use iphone operating system...an iphone is not a status quo...ama hyo simu yako ya itel use IOS

Sent using Jamii Forums mobile app
sijasema ulichokiandika hapa mimi,ila ujue tu hakuna mtu na kipato cha kueleweka akamiliki tecno ama itel ya dollar 900 labda huko kwenu kenya.maana huko kuna kila aina ya vioja.
 
Back
Top Bottom