Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
mambo yanaenda vyemaMNf [emoji7][emoji7][emoji7][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 848216
mambo yanaenda vyemaMNf [emoji7][emoji7][emoji7][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 848216
Maskini ndio hubrag na small simple things.Simu za below 1000 Usd? [emoji23]
so mlichotuzidi ni hiyo status pekee.ni nini mmetushindia pasi na kuwa ldc...lol
na tajiri huona ni bora kuwa navyo kuliko kupiga kelele.Maskini ndio hubrag na small simple things.
so mlichotuzidi ni hiyo status pekee.
when did you graduated from this status??yeah its earned by hardwork and smart work.....not ujamaa mentality
dah mkuu umeuwa mda wote IPO chaj na inasoma 12%[emoji134] [emoji12] [emoji12] bora aitupe tuInaonekana simu yake ni TV. 24/7 ipo kwenye charge. Inasoma 12%[emoji23][emoji23] .Huyo wa calculator namtaka[emoji23][emoji23] Atakuwa anatumia ya button.
mkifika mombasa mtatujulisha.DID YOU KNOW THAT PART OF JKIA IS IN MACHAKOS COUNTY.....NOW YOU KNOW.
SYOKIMAU IS IN MACHAKOS......AN EXTENSION OF THE GREATER NAIROBI METROPOLIS
hiyo simu tupa unatumia vitu cheap sana ......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimecheka sana kumbe ni hilo kopo
bange zinakusumbua[emoji12] [emoji12]
😂😂😂😂😂 Sina mbavu😂😂😂 Umekuwa Dar vs Machakos and Nairobi😂😂😂mkifika mombasa mtatujulisha.
umeuwa,,,na hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 848372
Wapi ?? Hatuja hona😂😂😂😂 Mpaka tuone hiyo simu[emoji23] [emoji23] buda nilishatuma kitambo...kwani uko kwa kichaka nin??
Sent using Jamii Forums mobile app
ni uchafu sanaMeaning this is the reality of Roads in Nairobi CBD[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 848394View attachment 848395View attachment 848396View attachment 848397View attachment 848398
😂😂😂😂Kulingana na vitu wanavyomiliki, hata kama wengine wana hela ila hawapendi kununua vitu vya gharama, Mmewafunika [emoji23]. Sasa tunajua nani anaishi maisha na nani anasurvive maisha. [emoji23]
Wanasema screen ya simu ya mtu Au desk top ya Pc yako inaonyesha we ni mtu wa aina gani.
Kuna mtu simu yake ina app mbili mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tuonyeshe version ya Itel unayotumia😂😂😂ni nini mmetushindia pasi na kuwa ldc...lol