Umetembea Nairobi lately??kumbe mmejenga kitambo sana,sasa ni kazi gani mmefanya mpaka saa hii??,maana hakujabadilika.
jana na leo hazijakuwa siku nzuri kwao.Wakenya wananuna.
wale wa kusema kenya ni nairobi pekee,,,i dedicate this to you,
TAITA KENYA
Tuliza akili yako ...by 2025 per capital ya Tz inakadiriwa kua $3000 iyo ndio maana halisi ya middle income sasa...nawashangaa sana mnavyopiga makelele na per capital ya buku(1000+) ni uzwazwa wa hali ya juuUnlike you ..we are on the progress on attaining middle class by 2030..continue being an ldc country with dreams .utakufa bado ukiwa ldc..watoto wako vile vile na wajukuu because of the arrogance ya wazee ka nyinyi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Who told you owning an iphone ndo kufika buda...Kwenye swala la simu na mim nisipitweafu sijawah kumuona mkenya humu akipost screenshoot ya iphone View attachment 848671
😂😂😂😂 Atupatie screenshot ya menu ya simu yake😂😂😂Ewaaaaaaa mulisaaa yule mvutabange niliokua nakuambia anatumia calculator ndio huyu hapa 😂 😂 😂 😂 Mwambie arushe screenshot ujionee mpilipili na maua yake
Too much repetition. You guys hamna photographer kama NDINDA??😂😂😂
😁 😁 😁 😁 that's impossible 🙅 hatoweza😂😂😂😂 Atupatie screenshot ya menu ya simu yake😂😂😂
😂😂😂😂 Kituko cha mwaka. Mwasiti kuja chukua mtu wako😂 Wanajua yakwao ipo cooked.😂😂OMG!! this comment should be screen-captured and saved for future usage.
mmekuwa mkitutolea povu hapa since 2016 kwampa kenya ni middle economy, halafu leo nyinyi wenyewe mnarudi kula matapishi yenu kwa kusema mtafika middle economy 2030.smh
haki wakenya ni wajinga.![]()
![]()
![]()
![]()
Zii.kwani unadhani nani ako na wakati wa kuzunguka idle akipiga picha kila building na maua..huku kazi buda..Too much repetition. You guys hamna photographer kama NDINDA??![]()
Tuna battle na wakenya wa Kibera😂😂😂 iPhone na Samsung kwao ni ndoto😂😂😂Kwenye swala la simu na mim nisipitweafu sijawah kumuona mkenya humu akipost screenshoot ya iphone View attachment 848671
Tuonyeshe ki Techno kama uko nayo😂😂😂
Kuanzia leo nitampa tabu sana.😂😂😂😁 😁 😁 😁 that's impossible 🙅 hatoweza