Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This guy is just an honest Tanzanian and the fact that he can ask for a job online without fear of how people will think about him tells everything. Meanwhile you continue lying about the obvious ati 2% unemployment and some utopia.

basi kama yeye ni honest msaidieni kupata kazi huko kenya maana tayari yeye anaamini tz iko chini japo hakufafanua chini kuhusu nini.
 
punguza hasira baada ya kuikana dar mbele ya kadamnasi na kushikwa peupe 😀😀😀
hasira hasara
wewe huwezi nishika mimi,huyu shoga ni wenu tena anishi mombasa,sasa sijajua atakuwa ni nani kati yenu wewe,mwaswat,anord,and the like,yaani mmenasa mapema sana huu mtego.

dar itaendelea kuwakimbiza mpaka mlale bila nguo.
 
watazania mkazue mioyo yenu migumu msalimu amri tu kuwa Nai ndio kusema.....hahaha.mnatumia nguvu nyingi sana ila uwezo wenu dhaifu mno
huoni unatumia nguvu na muda mwingi sana kupinga hilo!!!!kwanini usipuuze kama ni kweli!!!
 
chini ya wapi?... ya mnazi?.

wewe binafsi ndio upo chini, sio tanzania. thread yako uliyoianzisha tarehe 30/ 01/2018 inajieleza dhahiri shairi.
View attachment 846282
wasalimie watu wa mbeya.
anatia haibu huyo wakukaja... ....watu wa mbeya hawakuwagi hivyo huwa niwapambanaji nawasiwasi atakua ni mzamiaji huyo kutoka zambia
 
Nimekuja Nairobi Mara nyingi sana, Kitu pekee naweza sema ni Kuwa kwenye public Transport Kenya mna mengi ya Kujifunza kwetu, that matati culture ni utamaduni wa kihuni kabisa tena ukileta hapa Tz utakosa watu, nimewahi panda kigari kimoja toka pale Eastleigh hadi hapa Oracle kwenye magorofa yanayojengwa na wachina, kwakweli is the worst, hata mikoani Tz kuna mifumo mizuri ya Public Transport kuliko Nairobi.
Halafu yote ni magari ya Kizamani yameandikwa sijui Saco,
Yanaweka mizigo juu eti, huku Tz huo utamaduni haupo.
Halafu zile wamepimp huwa naziona tu mkituma picha humu but mitaani nairobi mbona hazipo?


Sent using Jamii Forums mobile app
wape makavu
 
hahaha nipo kwenye 2 bedroom..na kama hujajua Nairobi hio ni achievement...rent humu sio kama kununua peremende..this is a very important city....kisha naja tu humo kwenye 3 bedroom pia......cha muhimu, ujana....ila najua ujana ni moshi
emoji23.png
emoji23.png
...au sio lijizee? kuna swali nimetaka nikuulize mda mrefu, hivi dinosaur uliziona wakati ulipokua mchanga?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
una utoto mwingi....haujakua
 
certains d'entre nous ne sont pas allés à l'école pour apprendre le français, merci de vous en tenir à l'anglais.
sipotezi mda na chokoraa kama wewe unayetumia uwezo mdogo wakutranslate...
 
Back
Top Bottom