Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I apologise for that..how about this......kindly check United republic of Tanzania and if you notice Kenya please halla me!UNCTAD | UN list of Least Developed Countries

oops, nilidhani unakuja na issue ya maana, kumbe wimbo wa LDC.tumeshauzoea.mmekuwa mkiuimba tangu mwaka 2015.

i gree,according to your link tz is an LDC. but it feeds kenya an MDC.

so in other words we can say an LDC feeds an MDC,

here is a proof.

IMG_20180825_175856.jpg
IMG_20180825_175911.jpg
IMG_20180825_175924.jpg


sasa nataka wewe unitajie ni bidhaa gani muhimu za kibinadamu kenya an MDC inaisadia au kuiuzia tanzania an LDC.

nakusubiri.
 
kwa salary ya job gani uko nayo upate uwezo wa kulipa rent ya two bedroom house nairobi?, labda nje ya nairobi au kwenye slum za mathare na kibera.

two bedroom huwezi afford...size yako ni bedsitter..
View attachment 846450View attachment 846451View attachment 846452View attachment 846453
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
usiwashwe washwe na 2 bedroom yangu old man...nilikwambia anza kuandika will.make funeral arrangements....wewe ni past tense sasa...watanzania waliozaliwa the age of the dinosaurs hawawezi waka afford Nairobi...by the way, huajnibu, lijizee likuukuu.... dinosaur uliziona?
emoji23.png
emoji23.png
 
“I am so elated being here (Kenya), but at the same time when I came, I was sad. Sad because Kenya hasn’t been shown as what Kenya truly is to the world,” the gifted actor explained.
In the same breath, he challenged the government to promote a more holistic picture of the country.
“And this is a challenge to the Ministry of Information, Ministry of Culture and Tourism; you are losing a lot with regards to Gross Domestic Product (GDP). If you go outside and think of Kenya; what comes to the minds of people is the Maasai people or the athletes – that’s it. But Kenya is way beyond that, you people have a lot of infrastructure,” Mike said.

I was sad when I got to Kenya - Mike Ezuruonye | Entertainment 2016-04-03
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
usiwashwe washwe na 2 bedroom yangu old man...nilikwambia anza kuandika will...watanzania waliozaliwa the age of the dinosaurs hawawezi waka afford Nairobi
punguza hasira jobless youngman.

jitahidi usifike thirty ukiwa huna job,itakusababishia stress mob.

btw wakati wewe ukijivunia 2 bedroom ya ku-rent kwa caretaker mkikuyu, mimi namiliki nyumba zangu tatu hapa dar, zote ni self contained 4 bedroom zenye backyard kubwa ya kupaki magari zaidi ya matano.

povu ruksa.
 
punguza hasira jobless youngman.

jitahidi usifike thirty ukiwa huna job,itakusababishia stress mob.

btw wakati wewe ukijivunia 2 bedroom ya ku-rent kwa caretaker mkikuyu, mimi namiliki nyumba zangu tatu hapa dar, zote ni self contained 4 bedroom zenye backyard kubwa zenye uwezo kupaki magari zaidi ya matano.

povu ruksa.
sasa hizo nyumba na gari zitakusaidia kivipi wewe unayemea mvi kwenye makwapa
emoji23.png
emoji23.png
...unsahau una miaka 10 uanze kuvalishwa napi?
emoji23.png
emoji23.png
kitindamimba wako wa 35 years ndiye atakayejivinjari...wewe hapo ulizaliwa the age of the dinosaurs
 
sasa hizo nyumba na gari zitakusaidia kivipi wewe unayemea mvi kwenye makwapa
muulize mama ngina kenyatta na mzee moi, ardhi kubwa waliyopra toka kwa wakenya masikini na mali nyingi walizoiba serikalini, zitawasadia nini ilhali wao ni wazee vikongwe wana mvi mpaka sehemu za siri.

ukipata jibu kaa nalo.
 
muulize mama ngina kenyatta na mzee moi, ardhi kubwa waliyopra toka kwa wakenya masikini na mali nyingi walizoiba serikalini, zitawasadia nini ilhali wao ni wazee vikongwe wana mvi mpaka sehemu za siri.

ukipata jibu kaa nalo.
sawa mzee kobe
emoji23.png
emoji23.png
ukona point
 
Week iliyopita nilikua Nairobi kenya na kilichonipeleka ni business deal


Unajua nairobi kuna bidhaa nyingi mno na first class kushinda hata dar


Pamoja na hilo nilitumia siku moja kufanya manunuzi yangu ya kibiashara pamoja na madeals kadhaa ya biashara nilifanikisha

Nikapata siku mbili za kula bata na kutembea hii ni mara yangu ya kwanza kuwa nairobi but sio first time kuwa kenya nimewahi tembea sehemu nyingine za kenya mara nyingi tyu

Nije kwenye point kiukweli nairobi ndo jiji bora kabisa east africa jiji linavutia mnooo halafu vitu vingi na vitega uchumi vingi vipo nairobi na nairobi ina
"watu wako na pesa mingi "

Dar tuna ya kujifunza kutoka nairobi.Jamani Msije mkasema nimeifavour nairobi kisa nimeenda noo nimetembea pia miji mingine hapa east africa mfano nilishaenda kigali ni jiji lenye mvuto ila the best ni nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena bratha.
Usisahau kuwafahamisha na wenzako pia.
 
Leo nimeangalia Mashemeji Derby K24 game iliyofanyika Kasarani cha ajabu stadium ya kuingiza watu below 50k lakini uwanja ulikua mweupe kweli...
Natamani siku ya Dar as Salaam Derby waangalie crowd ya fans pale National stadium then walinganishe.....
 
Leo nimeangalia Mashemeji Derby K24 game iliyofanyika Kasarani cha ajabu stadium ya kuingiza watu below 50k lakini uwanja ulikua mweupe kweli...
Natamani siku ya Dar as Salaam Derby waangalie crowd ya fans pale National stadium then walinganishe.....
kasarani bratha sio ya watu chini ya 50k...kisha kuna wakati ambapo watu hujitokeza kwa wingi kutazama michezo haswa ikija kwenye riadha
 
Back
Top Bottom