mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
acha kichaa cha ujauzito wewe,huelewi kinachojadiliwa katika huu uzi au??hahaha uwkeli wanajua...ila lazima wabishane tu ndio walale vyema usiku
acha kichaa cha ujauzito wewe,huelewi kinachojadiliwa katika huu uzi au??hahaha uwkeli wanajua...ila lazima wabishane tu ndio walale vyema usiku
chini ya wapi?... ya mnazi?.
wewe binafsi ndio upo chini, sio tanzania. thread yako uliyoianzisha tarehe 30/ 01/2018 inajieleza dhahiri shairi.
View attachment 846282
wasalimie watu wa mbeya.
hahahaha wacha hasira basacha kichaa cha ujauzito wewe,huelewi kinachojadiliwa katika huu uzi au??
ila ukitaka kumshika mkenya ni rahisi sana,nilijua tu yule ni member huku katika hii battle,ila kaja na chupi nyingine beach tofauti.😀😀,nikataka niprove,na ni kweli katoka huku.ata hawa wako hapa pia wanajua ukweli lakini wanajifanya vichwa maji. nimeshangaa sana hata kumwona mkorinto akiikana dar mbele ya umati
ya leo kusema ukweli stadium ilkua bure ila wakati mwingi huwa imejaa
sina hasira.mkenya hawezi kunikasirisha,zaidi ya kunisikitisha.hahahaha wacha hasira bas
safikwakweli dar inakwenda kuipita nairobi,japo nairobi imeizidi dar kwa kipindi kirefu.
kwani ikiwa 2% inakosa watu wa kupost mitandaoni,wewe jamaa vipi aise!!!This guy is just an honest Tanzanian and the fact that he can ask for a job online without fear of how people will think about him tells everything. Meanwhile you continue lying about the obvious ati 2% unemployment and some utopia.
safi,ila tumesumbua kwa muda mrefu hata mkitupita sio mbaya.
Nmenotice hawa maAdmin wanavuta messages kama hiyo ya huyo msee...well said bruv!
But wanavuta point zao.tuwakaribishe watu kama hawa ambao nia yao ni kusema ukweli...sio ushabiki mtupu
we sikitika tu ila ukweli wnzako wanatambua peupe...hakuna mji ulio kama Nairobi ukanda huu...hii hata dunia yote inatambua..ndio maana utaona headquarters za kampuni za nje karibia asilimia 99 zipo Nairobi...nyie mnabaki na akina Acacia ambao wamekuja tu kuwala kwa kunyakua rasilimali zenu wala sio eti wamevutiwa na chochote cha maanasina hasira.mkenya hawezi kunikasirisha,zaidi ya kunisikitisha.
sasa wewe na wakenya wenzio endeleeni kufurahia HQ,nakukumbusha pia hata wazungu wengi wapo hapo.we sikitika tu ila ukweli wnzako wanatambua peupe...hakuna mji ulio kama Nairobi ukanda huu...hii hata dunia yote inatambua..ndio maana utaona headquarters za kampuni zote zipo Nairobi
hahahaha...hq kuletwa mjini ina maana nyingi sana...ina maana wanavutiwa na jambo flani ambalo halipo kwenye miji mengine kama Darisalam, Kampala au Kigali...kama vile tu kuna sababu ya Joburg kuwa inavutia makampuni mbalimbali barani afrikasasa wewe na wakenya wenzio endeleeni kufurahia HQ,nakukumbusha pia hata wazungu wengi wapo hapo.
ziko kwa uzi mwingine. just click on the " mkorinto said: " buttonNmenotice hawa maAdmin wanavuta messages kama hiyo ya huyo msee...
Ukisifia Nairobi na wewe ni mtanzania message yako inavutwa.
naona unatumia nguvu nyingi sana.... 😀
ila nimependa sana,the way mnaichukulia dar now,angalia kitu nimeandika kule bila kutafakali umeleta huku.hii ni kusema huamini.hahahaha...hq kuletwa mjini ina maana nyingi sana...ina maana wanavutiwa na jambo flani ambalo halipo kwenye miji mengine kama Darisalam, Kampala au Kigali...kama vile tu kuna sababu ya Joburg kuwa inavutia makampuni mbalimbali barani afrika
soon utaona siku zako za mwezini.naona unatumia nguvu nyingi sana.... 😀
usiondoke hapa dogo baki uchangie na sweta yako hii,kuthibitisha madai yako kule.Thank you very much bratha nairobi is the best ever in east africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure.Thank you very much bratha nairobi is the best ever in east africa
Sent using Jamii Forums mobile app