Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

muoga wa nn siasa zenu zimewashinda leo hii siasa za uganda zinawahusu nn au ni hasira ya kunyimwa bomba la mafuta pamoja na SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Free Bobi Concert leo usiku. Wewe huwezi understand coz Tz mnamwona president kama mungu
freebobi2.jpg
freebobi1.jpg
 
nyie hamutaacha ujinga siku zote hua nawaambia ikiwa siasa zenu zimewashinda hata kuthubutu kupunguza tribalism pia hamuwez hio siasa za uganda mutaziweza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nyinyi endeleeni kumuabudu Magu basi hahah
 
Hivi kwanini wewe ni mjinga kiasi hiki?, wewe umesikia kwamba polisi wa Kenya ndio waliowapa taarifa kwamba gari lao limeibiwa ndio polisi ya TZ ikaanza huo msako, kama huamini kwanini usiulize polisi ya Kenya?. Mbona mwaka jana gari lingine la ikulu lilikamatwa Uganda?, Kenya is a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kulia hapo sasa gari mbili zinafanya tukuwe failed state enyewe uivu itakumaliza bratha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom