Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,291
- 3,647
uko na kichaa. tangu lini mnara utolewe? Burj Khalifa iko na mnara zaidi 250m. kwa taarifa yako hakuna sheria inayozuia contractors kutojenga mnara. so that means you have not been restricted to. all top 10 skyscrapers worldwide ziko na minara. so kama yakukera, kapande juu uende ukazing'oe. na ni nani alikwambia jumba au hata kijumba hakifanyiwi marekebisho? kama waKenya ni wajanja, basi iko sawa na dunia nzim kwa ujanja wakati bongolala bado iko usingiziniSwali linakuja mnara ukitolewa itabaki same height mbona mambo yanataka aliki usifkiri uli mnara hauwez tolewa ile chuma tu au hujawah kuskia magorofa minara imetolewa