Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwonekano wa kijitonyama tokea Mwenge, Dar es salaam
33561361580_ebf5d1d8f1_h.jpg
 
I have posted designs za Tatu city na Konza city. Na nimepost evidence the work is under way zinajengwa as we speak. So what was the name of that city you were building again??
 
you guys dont repost? Nimeona some 3 tall buildings sana hapa. Plus different Kenyans join at different stages na hawana muda wa kusome uzi wa more than 500 pages
Swali linakuja mnara ukitolewa itabaki same height mbona mambo yanataka aliki usifkiri uli mnara hauwez tolewa ile chuma tu au hujawah kuskia magorofa minara imetolewa
 
Wanazo ngapi Nairobi. Dar zipo 5
1. Kimara Footbridge , 2 Ubungo 3.Manzese 4. Morocco 5.Machinga Complex .
Wafahamu kenya kuna super highway. Na kuvuka lanes kumi na mbili wahitaji footbridge. They are all over
 
Swali linakuja mnara ukitolewa itabaki same height mbona mambo yanataka aliki usifkiri uli mnara hauwez tolewa ile chuma tu au hujawah kuskia magorofa minara imetolewa
Nani anautoa mnara? Kingdom tower itakuwa 1000m, na ina mnara, burj vivyo hivyo. 163m na 200m, ziko Nai, upende usipende. Na la mita 300 linajengwa, utalia mpaka lini
 
Back
Top Bottom