Sio kubishana niliwambia hata mtoto mdogo anaelewa hehehhehe unakua mwili tu sisi hatueki mnara kwasababuni ujanja wakishamba tupoteze pesa kueka mnara kwanini tusiongeze floors zisaidie uchumi hahahhahahha bongo imewanyima usingizi hahahhahha
Mtaa gani huo?DAR ES SALAAM
![]()
Closed ya nin kama mnara unaongeza floors basi wewe ndio mjanja hahahahhhahaa 😀😀😀😀😀😀😀case closed!!! umekubali kuwa mnara unaeza tolewa na ukarudishwa. halafu sielewi tulifika vipi kwa miraa na mugabe. rudi kwenye line
Mm nimekwambia hvi kma mnara unaongeza no of floors basi wewe ndio mjanja kwanzia leo hahhahaha😀😀😀😀😀😀😀hapo sasa. MUTAWEKA VIPI MINARA KWA VITU HAMUNA SASA. Kwanza mutaanzaje??? kuweni nazo kwanza ndio muje tuongee. kwa sasa Towers mbili hizo ni vitu za kuhesabika. Nairobi utakosa hesabu maana ni nyingi kupindukia. Duh!
Tunamalizana na hwa kwanza wazee wa sifa wazee wakuhamisha visivo hamishika hahhahahahhahaLeta battle mwanza na arusha
Tunamalizana na hwa kwanza wazee wa sifa wazee wakuhamisha visivo hamishika hahhahahahhaha



Yeah! Whatever. Booooringdotcom.Mm nimekwambia hvi kma mnara unaongeza no of floors basi wewe ndio mjanja kwanzia leo hahhahaha😀😀😀😀😀😀😀
Mnara ni topic baba unakimbia wapi alikubali mwenzio saedique muulize hehhehe we unajifnya huelew hahhahaha nilikwambia kama mnara unaongeza floors basi wewe mjanja mark my words 😀😀😀😀😀😀😀 alafu ukichange mada ukija kwenye slums hebu cheki hapo hahahhahhaha hapa hutoki mbonaYeah! Whatever. Booooringdotcom.
mnara hata haiwezi kuwa topic of any discussion. Dar is slum hawatajenga towers zozote maanake dunia nzima ni wajanja pamoja na waKenya blah blah blah Nonsense. panda juu uwende ukaikate uitafune
must be Tegeta areasMtaa gani huo?
umesahau ya buguruni paleWanazo ngapi Nairobi. Dar zipo 5
1. Kimara Footbridge , 2 Ubungo 3.Manzese 4. Morocco 5.Machinga Complex .
kweli kabisa ile kuna miradi wameweka ipo nnje ya nairobi hawana akili hawa....ni wakuzamani kweliUkifuatilia humu
jamaa wamechukua majengo yanayo jengwa Kila county ya kenya
kupambanisha na Dar pekee