ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Seme hujui ufundishwe basi ndio na mnara sijakataa ila mm mnara kwangu ni ujanja tu hakuna kitu hhehhehhehhehhe na hio sio actual heightNani anautoa mnara? Kingdom tower itakuwa 1000m, na ina mnara, burj vivyo hivyo. 163m na 200m, ziko Nai, upende usipende. Na la mita 300 linajengwa, utalia mpaka lini