Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

atakaenionesha stadium kama hii nje ya nairobi nafunga account jamii forum sasa hvi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
5B6199BD-BC45-47D0-BFAC-DFC34E495FDE.jpeg
 
Nani alikataa Kenya hakuna slums? You too sound stupid. Kenya tunazo slums tena NYINGI. Tunazingatia waTZ wenzako kusema hamna slums.

Nyani enyewe haoni kundule, wahenga hawakukosea.

Informal settlements kwa kiswahili ni? View attachment 842332
kwa hiyo kwa akili yako "informal settlements" ndo "slums"?????
tatizo ni kwamba mliifanya lugha ya watu kuwa ndo lugha yenu ya taifa!
 
Hii battle kila siku naiona. Hivi mshindi hajapatikana tu.

Maana nilipokuwa mdogo, nilikuwa mpenzi sana wa CARTOON, Televisheni hasa ya CARTOON NETWORK imenikuza sana. Kuna cartoon ya Samurai Jack na Aku, hawa jamaa sikuwahi kujua nani mshindi hadi leo
 
dar hata metro ndio haina...Thats a phenomenon for bigger and more developed cities like joburg cairo nairobi......hata ukiingia kenya kupitia namanga utaona maendeleo nyingi sana hadi kitengela town
 
Imagine Nairobi with over 4m people, na the space National park has taken not forgetting the other parks and forest.

NBI ni babayao.
Imagine Nairobi with over 4m people, na the space National park has taken not forgetting the other parks and forest.

NBI ni babayao.



HII side ya Africa NBO ndio jiji
 
hapa je mzungu mjinga alikua kipofu wala usijibu kwa hasira

mutabakia kuhangaika kutafuta slum dar lakin nakupa uhakika hutapata mpaka yesu anshuka
View attachment 842193
Mzungu ni mtu wa propaganda, wao huongezea chumvi sana sana kama ni Africa. The only countries that can protest to these wazungu wenyu hufurahi downfall ya Africa ni Kenya na Nigeria, the rest(including Tanzania) have colonized minds meaning, wao huona as if wanzungu ni miungu! The wazungu travel from abroad to Africa expecting poverty, permittivity,terrorism,unconserved wildlife, underdevelopment, dictatorship & attention from Africans as if they are gods but yuh, they get it it in Tanzania & other LDCs but when they visit kenya Nairobi, they meet a hard disappointment, walitarajia kupata watu wamezubaa wakiwangoja kuwasalimia kwa sreets but in Nairobi we ni mzungu lakini hata chokoraa hawakukimbilii, ni wewe ujipeleke kwao the rest of the city is too busy to start marveling at whites! So wao huextract slums ndani ya slum ndio zikae mingi with unknown names to the residents kama sasa hio kids slum ni gani Nairobi has very few slums settlements ie
*Kibera
*Mathare
The rest are just either extraction from the two or informal settlement mixed with middle class settlement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom