joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
akikuletea nitag bro 😂😂😂😂😂
Kanipigia simu kwamba anayo lakini hayupo tayari kuiweka hadhari hadi tumpe kitu kidogo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]akikuletea nitag bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mpaka rushwa yani corruption ni kama walizaliwa nayo tumbo moja😂😂😂Kanipigia simu kwamba anayo lakini hayupo tayari kuiweka hadhari hadi tumpe kitu kidogo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu.......kwani bado hawajatoka katika hilo kundi?[emoji24] [emoji24] [emoji24]kwan umesahau kua hio nchi ni failed state[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dar is slum suburbs without boundaries[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji88] [emoji88] [emoji88] [emoji88] [emoji88] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]zitafute kwa torch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukikosa nimekuruhusu mm uokote picha za nigeria na congo useme dar sawa[emoji13][emoji13][emoji13]
hawatatoka mpaka yesu ashuke😂😂😂😂Duuu.......kwani bado hawajatoka katika hilo kundi?[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Slum zakenya zinareduce za Dar zinaongezeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meaning these guys are now being introduced to what Nairobi went through 40 years ago!
umechemka budaa tafuta zingine 😂😂😂👇👇👇👇👇👇 ukipata zingine pia nitag ukikosa kabisa nimekuruhusu okota za nigeria na congo zipo nyingi sawa😝😝😝Dar is slum suburbs without boundaries[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji88] [emoji88] [emoji88] [emoji88] [emoji88] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] View attachment 842176View attachment 842178View attachment 842180View attachment 842181View attachment 842182
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa je mzungu mjinga alikua kipofu wala usijibu kwa hasira😂😂😂👇👇👇Slum zakenya zinareduce za Dar zinaongezeka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] meaning these guys are now being introduced to what Nairobi went through 40 years ago!
Sent using Jamii Forums mobile app
heheh ila hawatapa density kama hio 😂😂😂😂😂😂