You don't need to qourt me when you post stuff.. Zanzibar is a country. Which part of the country do you want us to compare with mombasa? Nugwi ama kizimkazi....
wakenya wanafikiri dar ni kama nairobi tu ambayo ukiizunguka siku mbili tu ushaimaliza!!haziko hapo, kama ndo ulitembea hapo tuu basi hujaimaliza Dar bado na si rahisi kuimaliza Dar kimasihara masihara
Hapo kwny picha ni CBD na Bandarini
hvi wewe akili yako iko sawa hebu nitajie visiwa viwili vinavounganisha zanzibar😂😂😂😂 ukipata nungwi na kizimkazi nitag👆👆👆 ujuaji ukizidi mwishowe hua mjingaYou don't need to qourt me when you post stuff.. Zanzibar is a country. Which part of the country do you want us to compare with mombasa? Nugwi ama kizimkazi....
Thou the gdp of Zanzibar is nothing.
Waiting for Dar resort's
hahah zanzibar umeiogopa 😂😂😂 👆👆You don't need to qourt me when you post stuff.. Zanzibar is a country. Which part of the country do you want us to compare with mombasa? Nugwi ama kizimkazi....
Thou the gdp of Zanzibar is nothing.
Waiting for Dar resort's
Which part of Zanzibar.. si ni inchi?hahah zanzibar umeiogopa 😂😂😂 👆👆
nimekwambia nitajie visiwa vinavounganisha zanzibar na ukipata kizimkazi na nungwi nitag bro😂😂😂 ujuaji ukizidi mwishowe unakua fala 😝😝😝😝Which part of Zanzibar.. si ni inchi?
kwa hiyo hao watoto ni wajinga kwa sababu hawakuweza kuhesabu 1-100 kwa kiingereza???bora tu kumuhamisha maana sio kwa ujinga huo ambao angeambukizwa huko.
hongera.
zanzibar is part of tanzania iko chini ya himaya ya tanzania 😂😂😂😂Which part of Zanzibar.. si ni inchi?
wakenya wanafikiri dar ni kama nairobi tu ambayo ukiizunguka siku mbili tu ushaimaliza!!
1600km sq vs 696 km sq😂😂😂 jitahidi kujifunza utaelewa tumnazunguka tower tatu siku tatu lol............hata tokyo ni ya kuzungukwa siku moja
haya tuzunguke mji wa tanganyika
haya tuzunguke mji wa tanganyika
mna matatizo ya akili...!!!believe me!mnazunguka tower tatu siku tatu lol............hata tokyo ni ya kuzungukwa siku moja
ukitaka kujua maan ya slum ona hii video😂😂😂😂👇👇👇👇