El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
hii ni dar ya wapi😂😂😂👆👆👆👆
matumaini ni sehemu ya maisha yako😂😂😂Quality my friend, not quantity.
*Unajua tukiuza ¼ of an acre uperhill tunanunua hio kijiko ya nyama yote plus bonusView attachment 840929
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kuokota picha za google na kusema dar😂😂😂👇👇👇ilala hii hapa
upper hill au westland ikifikia density kama hii ya ilala nitag😂😂😂👇👇(kijitonyama onwards are all slum like i am happy for the the guys who brought the photos...ilala(density) looks like the interior of kitengela i. kajiado...am happy for the photos that prove...kariakoo is just like umoja phase v....u cant get any biz district in dar to compete with westie hurligham,msa road ,upper hill,kilimani...its only posta that has the might to
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma itakua fireee. Kasoro zote za Dar zinaenda kuwa solved Dodoma. Tune to TBC1 now for a briefing from Dodoma RC.
lol....dodoma ni lodwar tu

oyster bay, 3 towers, congested kariakor na beachesita, tuta, nonsense.Dodoma itakua fireee. Kasoro zote za Dar zinaenda kuwa solved Dodoma. Tune to TBC1 now for a briefing from Dodoma RC.
Sent using Jamii Forums mobile app
umejuaje?!Dar hakuna maisha ni kubangaiza tu.....struggle for survival
hahaha.... vijiji ndani ya jiji tena? ndio maana dar haina metro. sehemu iliyoendelea dar inatoshana na Mombasa ambayo ni 300sqkm,,, au hata Mombasa ni kubwa mno.wakazi wa dar wanamaisha duni sana yani hadi noma pia jiji la Dar kuna watu masikini wengi wanaisha kwenye mabanda unplanned settlement pia Dar ni jiji lenye vijiji ndani yake
bora tu kumuhamisha maana sio kwa ujinga huo ambao angeambukizwa huko.Mwanangu alisomea English medium akapata matokeo mazuri la 7 serikali wakamchagua secondary ya kata siku alipoanza class wale waliotoka shule za serikali majority hawakujua kuhesabu 1-100 in English! Mwanangu alishangaa sana, akawa darasani anaulizwa sana na wenzake mwalimu ameongelea nini?
Bila jitihada za kumwamisha shule angedumazwa pale kwanza uhaba ni mkubwa sana.
Kiujumla hali ya Elimu nchini ni mbaya sana hususan walimu na mitaala, hivi kwanini shule zote zisiwe kwenye kiwango cha English medium?
Kwa style tuliyo nayo tutaendelea kuajiri na kusimamiwa na wakenya kwa miongo mingi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sihitaji kueka picha ya upper hill au Westland kupambana na upuzi kama huu,lakini nakuwekea umoja phase 1 ambayo hata kariokoo haifiki bei.....umoja phase 1
You can't find a bigger rich suburbs the size of Nyali.hahaha.... vijiji ndani ya jiji tena? ndio maana dar haina metro. sehemu iliyoendelea dar inatoshana na Mombasa ambayo ni 300sqkm,,, au hata Mombasa ni kubwa mno.