Wakati mwingine mnafa kushukuru baada ya kuwapa aerial view abayo ni ngumu kwenu kupata.......hahahaaaaahRoho inakuuma sana. Pole.

😀😀😀😀😀😎😎
Wacheni kuumiza majamaa. Hamna huruma hata.😂😂😂😂Wakati mwingine mnafa kushukuru baada ya kuwapa aerial view abayo ni ngumu kwenu kupata.......hahahaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
naona ww na ndugu yako munajiliwaza😂😂😂😂👆👆👆👆hahaha.... vijiji ndani ya jiji tena? ndio maana dar haina metro. sehemu iliyoendelea dar inatoshana na Mombasa ambayo ni 300sqkm,,, au hata Mombasa ni kubwa mno.
Ati huh sasa mji😂😂Dar jiji moja ovyo sana.
Bado mtaisubiria JIJI KUU NAIROBI.
Dar imeishinda NBO kwa wingi wa watu tu. Of which hao watu, wengi wanaishi vibandani. POLENI
Sehemu nzuri Dar ni countable. Huu ndio ukweli. Lumumba za kiTZ watasema povu lakini tushawazoea. Nyinyi mko in denial. Low self-esteem people. View attachment 841448View attachment 841450View attachment 841451
😂😂😂😂👇👇👇👇👇You can't find a bigger rich suburbs the size of Nyali.
haya zoom unioneshe slum hapo😂😂👇👇👇😂 we ulijua mzungu mjinga sanaDar jiji moja ovyo sana.
Bado mtaisubiria JIJI KUU NAIROBI.
Dar imeishinda NBO kwa wingi wa watu tu. Of which hao watu, wengi wanaishi vibandani. POLENI
Sehemu nzuri Dar ni countable. Huu ndio ukweli. Lumumba za kiTZ watasema povu lakini tushawazoea. Nyinyi mko in denial. Low self-esteem people. View attachment 841448View attachment 841450View attachment 841451
umeoneshwa video kitu mubashara 😂😂😂😂😂 yani safari hii hakuna tundu mutatoka huu mwaka mumeshikwa kubaya sanaWakati mwingine mnafa kushukuru baada ya kuwapa aerial view abayo ni ngumu kwenu kupata.......hahahaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app

endelea kutafuta slum kwa torch ukipata nitag😂😂😂😂👆👆👆👆👆Hahaha Mbeleni tu karibu na bahari
Kijiji chenu badooo