Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endelea kutafuta slum kwa torch ukipata nitag

kama ukikosa okota picha za nigeria na sieralione useme dar umeskia

Sina huo mda wewe kilaza lumumba. Mimi nilishakubali JIJI KUU liitwe JIJI KUU. Na JIJI KUU ni NAIROBI.

dar kijiji sana
 
Sina huo mda wewe kilaza lumumba. Mimi nilishakubali JIJI KUU liitwe JIJI KUU. Na JIJI KUU ni NAIROBI.

dar kijiji sana
umekosa slum nimekuruhusu sasa okota picha za congo au nigeria useme dar nimekuruhusu ili moyo wako usuzike😂😂👆👆👆

jiji kuuu ndio hili😂😂😂👇👇👇
munamuona mzungu mjinga sana
06E9D900-EBAB-4866-8F5E-30C466EAC527.png
 
umekosa slum nimekuruhusu sasa okota picha za congo au nigeria useme dar nimekuruhusu ili moyo wako usuzike

jiji kuuu ndio hili
munamuona mzungu mjinga sana
View attachment 841516

Ata Johannesburg, arguably one of the biggest and developed urban areas in Africa wana SOWETO.. Hivyo hutubabaishi na mipicha zako, ndugu

NAIROBI mtaisubiria sana
 
Ata Johannesburg, arguably one of the biggest and developed urban areas in Africa wana SOWETO.. Hivyo hutubabaishi na mipicha zako, ndugu

NAIROBI mtaisubiria sana
tatua tatizo lako kwanza kabla hujaangalia la mwenzako ujinga mlionao nyie ni kujifananisha na kila nchi😂😂😂😂 deni la marekani pia munajifananisha nalo👆👆👆

chukueni miaka30 mufike sehemu dar imefika😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom