Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wow.....kenyatta university is dope
university of dar es salaam😂😂👇👇
8EE4AB44-3813-4902-A616-57E669217767.jpeg
 
hahahahahahahahahahahahahahahaha leo mumenimada walai kufungua lift pia mnafanya sherehe nikama kuweka bulb alafu mnaita harambee Tz kumbe kweli ni washamba wote, they need to visit kenya wacha hata Nairobi sasa, waende Kericho kufanya mazoezi kabla ya kuingia Nai ju huku tutacheka hadi tukufe kwanza naeza tamani kuona movie ya ichoboy in Nairobi utaskia ninja imemulikwa na CCTV za streets jioni anaanza kupiga mapozi alafu wacha mshamba aambiwe twende two Rivers achukue mitungi
wewe unajua hio habari ni ya miaka kingapi imepita???? unajua saa nyingine unakua kama boya hvi😂😂😂😂
 
Kumbe ilikuwa TukTuk tu hiyo ndege...Si tumepigiwa kelele humu ndani. Oh tutaenda mwezini, oh pesa zetu tunachuna kama matawi, oh Magu ako na kichwa kama Chuma
hahahahaaaaaaaaaa....ichoboy kapotea......
 
Back
Top Bottom