Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

imekuwa habari kama ni Mungu kafa,kwani kunandege isiyoharibika??nashangaa inakuwa ajabu hii kwa mtu anayedai wako nandege 70 kwao😱😱😱
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio mimi nimeandika ni mwenzenyu huyu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kujeni Nairobi muone ndege huku ndege nikama gari kwa barabara, ziko kila mahali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
The average monthly salary ya waKenya wanaolima/kuza maua na other horticultural products ni around 25000-35000 Ksh

Hizo ni milioni ngapi za TZ?
ni milioni 3 za kitanzania.

yaani biashara zenye faida namna hiyo watu wanalipwa pesa ya kununua kuku!!!
 
CCM ni chama cha ujinga sana
emoji23.png

sasa hazijawahi kuharibika hizo za kila mahali!!!!
 
The average monthly salary ya waKenya wanaolima/kuza maua na other horticultural products ni around 25000-35000 Ksh

Hizo ni milioni ngapi za TZ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja ni tumie calculator
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Hii ni screp buda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aty Magu chuma!! Na sahii iko workshop
 
sasa hazijawahi kuharibika hizo za kila mahali!!!!
The funny thing is that ndege haijatoka Tz na already imechapa kwani mlinunua mtumba[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa ikifika Kampala si itakuwa screp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umeambiwa iko kwenye majaribio,so kugundua tatizo lolote hata liwe dogo vipi lazima lishughulikiwe.
 
Hii ni screp buda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aty Magu chuma!! Na sahii iko workshop
subiri uone unadhani hii ni mtumba kama locomotive za SGR kenya???
 
ni milioni 3 za kitanzania.

yaani biashara zenye faida namna hiyo watu wanalipwa pesa ya kununua kuku!!!
Aah! Milioni tatu hununua kuku kule TZ? Hivi nikija TZ ni rahisi sana mKenya awe billionaire? [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway, kama wewe sio mmiliki wa hizo biashara NYAMASA.
 
subiri uone unadhani hii ni mtumba kama locomotive za SGR kenya???
SGR imekua ikifanya kazi more than a year. Umeskia imeharibika hata kidogo? Ndege yenu ata haijakawia miezi mbili ishaanza kufanyiwa ukarabati [emoji23][emoji23][emoji23]

LANES ndugu
 
wewe hii mimba changa mbona inakukimbiza namna hii,ndege ni kitu senstive sana usilinganishe na upuuzi.
 
Aah! Milioni tatu hununua kuku kule TZ? Hivi nikija TZ ni rahisi sana mKenya awe billionaire? [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway, kama wewe sio mmiliki wa hizo biashara NYAMASA.
njoo,si unajua lakini MO,ni mtz hatoki kenya.na ndio anakimbiza na hizi hizi za madafu.
 
The average monthly salary ya waKenya wanaolima/kuza maua na other horticultural products ni around 25000-35000 Ksh

Hizo ni milioni ngapi za TZ?
Iyo ni around 700,000 tsh kwa 35000ksh
 
Aah! Milioni tatu hununua kuku kule TZ? Hivi nikija TZ ni rahisi sana mKenya awe billionaire? [emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway, kama wewe sio mmiliki wa hizo biashara NYAMASA.
Kama huwezi andika kiswahili fasaha tumia lugha nyingine , usituandikie matusi humu boya wewe , * Nyamasa ndo nini ?
 
Back
Top Bottom