Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zumbukuku atabakia zumbukuku tuu. Vipi blaza, mbona presha inakupanda hivi ukijaribu kuelimishwa?

Biashara inayoendelea katika hiyo 'kibanda' inaweza nunua nchi yenu
Unaongea kama umekatwa kichwa,no wonder labda ulisomea ujinga
 
Screenshot_20180802-081305.jpg
 
Zumbukuku atabakia zumbukuku tuu. Vipi blaza, mbona presha inakupanda hivi ukijaribu kuelimishwa?

Biashara inayoendelea katika hiyo 'kibanda' inaweza nunua nchi yenu
kama ilivyonunua land yote kenya na kupandia maua,badala ya mahindi.
 
Haha wooi ,kipindi namaliza high sch eti kuna jamaa alisema hio horticulture inalipa hatar kipindi iyo nilikua simwelewi nkaona kama ananipoteza tu...Ila inalipa iyo kitu usipime
 
inamlipa investor sio wakenya.
 
kushindana na tanzania ni sawa na kukimbiza kivuli chako😂😂😂😂👇👇👇👇

Back
Top Bottom